Sisi wanufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) tuliomaliza deni na bodi tunaonewa na HESLB kwenye kipengele cha kuingia kwenye mfumo wa Account ya loan board ili kuweza kuona tathimini ya...
Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA.
Jambo la kusikitisha...
Haya jamani mnafikiri ni civilisation gani ni kali na ya zamani kuliko zote duniani?Kwa maoni yangu ni acient egypt na kush (Nubia, zote ni za waafrika.Mwenye mawazo zaidi?
1. No Breakfast
People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain degeneration.
2...
Mbunge ataka vitabu vichomwe moto
MBUNGE JIMBO LA CHWAKA
na Irene Mark na Rahel Chizoza, Dodoma
MBUNGE wa Chwaka, Yahya Kassim Issa (CCM) ameitaka serikali kuviteketeza kwa moto...
Hii ni nyumba anamoishi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Lihumbe iliyopo kata ya Mbagamao, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Bw. Osmundi Nombo na mwalimu mwenzake. (Picha na Grace Michael).
Pamoja...
Problem Solving Skills
One of the most exciting aspects of life is the array of choices that we have on a daily basis. Some of our decisions are simple, like deciding what to eat for dinner or...
Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni...
JIUNGE NA CHANNEL HII UPATE PAST PAPERS NA MARKING SCHEMES ZA MIKOA YOTE TZ PAMOJA NA MIFUMO YAKUCHAKATA MATOKEO BURE.
Channel iko hapa
MOCK PAST PAPERS ALL TANZANIA REGIONS
Hizi courses ni bure, unatakiwa tu kujisajili
Hapa lazima unatoka uko bomba kabisa na ulichokisomea
IT NETWORKING
https://skillsforall.com/course/networking-basics?courseLang=en-US
CYBER...
Hello habari,
Samahan mimi ni binti nina miaka 24 nilihitimu kidato cha nne mwaka 2018 lakini sikubahatika kuendelea na masomo kutokana na hali ngumu ya nyumbani japo matokeo yangu yaliruhusu...
Wadau wa elimu, nahitaji TAHAKIKI ya A-level, pamphlets za masomo mbalimbali haswaa physically geography na science subjects. English kwenye literature
Wadau Salaam,
Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30...
Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa...
Wale vijana wa MWAMPAJA ,wale wa SCANDIA,PANGANI,NYANZA natumaini mmejaa hapa JF
Mnamkumbuka MGINA-Physics,KAYENGA-Chemistry,URIO-Maths kwa Alevel na kina KK(Kaselenge),Mainoya,Malogo,Mlata na...
Jamani niliarisha masomo baada ya kupata MATATIZO ya KIAFYA saivi nataka nifanye application ili niende CHUO kingine nikasome Tena tatizo no kwamba CHUO nilicho kuwa nasoma wamegoma kufuta jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.