Ulijiskiaje?
Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary.
Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja...
Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025
If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾
1...
Habari.
Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia...
"The server at olas.heslb.go.tz is taking too long to respond.
The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few moments.
If you are unable to load any pages...
Habari Wana JF Naomba kupata muongozo na maoni mbalimbali.
Kuna Chuo kinaitwa International University of East Africa kipo nchini Uganda kinatoa kozi mbalimbali za diploma, degree na masters na...
Wanachuo tunaojiunga kwa mwaja wa masomo 2024/2025 tujuane tupeane location n kuchangia mawazo zaidi. Na kwa walio pitia chuo icho pia tupeane msaada🙏🏼🙏🏼
Shida nini Bodi ya mikopo?.
Wanufaika wa Samia Scholarship kwa wanafunzi endelevu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hawajalipwa fedha zao za kujikimu wakiwa katika mafunzo ya vitendo...
Samahani kwa tulioomba au ambao walishawahi omba muhas diploma ya radiology online kupitia website ya chuo na sio nacte, kama umechaguliwa majibu unayapataje?
Au yalishatoka nimetemwa😂
Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini.
Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo...
Inawezekana kusoma? yaani naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada? Je, kuna utaratibu wa chuo kumpa mtu muda wa kufanya kazi za kujiingizia kipata na kufanya masomo...
Jamani naomba kujua kiundani hii elimu ya veta kwenye zile short courses za NVA
NVA I inasoma kwa muda gan?
NVA II inasomwa kwa muda gani?
NVA III inasomwa kwa muda gani?
Anaefahamu naomba unipe...
Habari za kazi ndugu watanzania wenzangu,
Binafsi niwapongeze woote katika juhudi zilizo tukuka kulijenga taifa letu safi la Tanzania,
Nimpongeze Mh. Dr. Samia suluhu Hasan kwa juhudi za...
Taaluma kadhaa nchi hii hazina vitengo, na hazijulikani wapi zitumike na tofauti zake hasa katika halmashauri zetu, kumbuka huu ni utafiti wangu binafsi:
1. Bachelor of arts in economics
2...
Hizi hapa Fani 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025
Kwa kutambua tatizo sugu la ajira nchini hizi ni Fani za Afya ambazo kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya wizara ya Afya 2024/2025 zitakuwa na...
Habari wanajukwaa.
Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA.
Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.