Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu, Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea. Kuna iprion ya...
0 Reactions
2 Replies
567 Views
Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Anonymous
Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa. Sasa kinachotokea ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari za saa hizi?? Naomba Ushauri wenu wana JF, Hivi ikiwa mtu ulisoma combination ya PCB A-Level halafu ukasoma Diploma ya General Agriculture. Je,Ukiomba kusoma Degree hii ya Bio...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hivi mtu aliyesoma PCB A-Level anaweza piga BCs agricultural engineering SUA???
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani wakuu mimi na rafiki yangu nasoma naye pale IFM kadisco but anataka kuendelea kusoma mwezi wa 10 inawezekana?
6 Reactions
12 Replies
485 Views
Vitu hivi ninashindwa kuvitofautisha, Tafadhali kwa mwenye kufahamu plz aje kuvidadavua
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Naomba kujua kuhusu bachelor of science in chemistry hapa kwetu Tanzania na ajira zake.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mtu amemaliza degree mwaka huu ila bado hajapata cheti cha degree, ila anataka kuomba ajira kwa cheti chake cha diploma inagoma afanyeje?
0 Reactions
2 Replies
375 Views
Hivi jaman hyo coz ajra zake ni zip?
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
2 Reactions
28 Replies
9K Views
WanaJF, Vipi kuhusu hiyo course ya textile design and technology? Ipi nzuri na yenye ajira kati ya hiyo na hizi BSc in Land management and valuation. BSc in urban and regional planing. Msaada...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Anonymous
Habari wadau, Ninaomba kutoa lalamiko langu kuhusu huduma za masomo kupitia Zoom lectures zinazotolewa na Open University Tanzania kwa wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza (bachelor of Laws) na...
0 Reactions
11 Replies
857 Views
Wakuu habari zenuu, Mimi hapa ndgu yenu Sasa naingia chuo mwaka wa tatu nasoma diploma ya electrical engineering, naombeni mnisaidie nijikite kweny kipengere gan kizuri zaidi kitacho nifaidisha...
2 Reactions
5 Replies
711 Views
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi? Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone...
3 Reactions
14 Replies
667 Views
Anonymous
Nimeamua kuleta hili jambo mbele zako Waziri wa Elimu Prof Mkenda na TCU mtusaidie sisi tuliokuwa wahadhiri wa SAUT Tabora tulipwe haki zetu. Nimekuwa mhadhiri wa SAUT Tabora Kwa muda wa miaka...
6 Reactions
6 Replies
517 Views
Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa...
86 Reactions
401 Replies
30K Views
habari wakuu, naomba mnisaidie namna ya kupata avn number kwa niliyesoma cheti mwaka mmoja na diploma miaka miwili. pale kwenye maswali ya kuchagua yes or no nachagua nta level ngapi? maana hapo...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vya kati yameshatoka lakini Joining Instructiins bado ili wazazi tuone tunajipangaje. Zinapatikanaje hizi?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom