Ndugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za...
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda...
Habari Wakuu!
Nipo Mwaka Wa Kwanza UDSM,
Natafuta Mtu Mwenye Room Maeneo Ya Sinza, Survey, Mwenge Au Mawasiliano Ili Tufanye Utaratibu Wa Kuachiana Mikoba.
Mwaka Wa Pili Sitaki Nikae Tena...
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi...
JINSI SHULE INAVYOHARIBU UBAADAE WA WATOTO WA KI-AFRIKA.
Tafadhari soma hii ukiwa umekwisha graduate 🎓,
Kabla hatujaendelea, naomba nikuweke sawa kwenye maneno Shule na Elimu,
Elimu...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali.
Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi...
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.
Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika...
Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo.
Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila...
Samahani wadau elimu, nina mtoto anahitaji apate field sehemu yeyote last minute kwenye hata kwa wiki mbili au tati za mwisho kabla hawajatakiwa rejea chuoni.
Nitashukuru kwa ushauri na hata...
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.
Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini...
Habari gani wadau? Kama mnakumbuka, siku za nyuma kidogo kuna mdau alitoa dokezo kuhusu afisa elimu sekondari Kilwa kudhulumu sitahiki za walimu kama vile malipo ya likizo, malipo ya uhamisho na...
Kusitishwa kwa utekelezaji wa sera mpya kwa kidato cha tano, je athari zake ni zipi ilihali tayari tulishawapeleka watoto mashuleni?
Je watanzania hasa wazazi na wanafunzi wanajua vigezo vya...
Naomba kuuliza nimemaliza diploma ya Clinical medicine NTA level 6 nakupata GPA ya 2.6 semister one afu 4.5 semister two, kwenda MD wana angalia GPA ya semister gan au toka first year ???
Wakuu nimerudi tena Habari za muda
Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy
Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry...
Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee
Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.