Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya...
Ndio maana inafikia kipindi wanafunzi wanapigwa, ni kwasababu ya kulazimisha mtu afanye asichokipenda by nature. Kuna shuhuda nyingi sana utazisikia, "Bila viboko nisingeweza shule". Hata wale...
Aliyetengeneza sinema ya Avatar alijua.
-Mycelium, au mycorrysis, ni ambayo huenea chini ya ardhi, na kuunda mtandao wa uhusiano kati ya aina zote za mimea, ambayo huwawezesha sio tu kuwasiliana...
Nili apply diploma in clinical dentistry na nikachaguliwa Tanga collage. Sasa jana trh 5/8 zilitumwa code(msimbo) za ku_verify taarifa NACTEVET lakini mimi sikutumiwa.
Nisaidieni kwa anae Juan hii🙏
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
Habari.
Nlikuwa naomba Msaada wa kufahamisha kuhusu ishu ya kupata AVN?
Pia nlikuwa naomba kufahamu Nacte huwa wanatumia muda gani ku confirm matokeo maana yangu yashakuwa submitted
Habari wadau wa JF, naomba kuchapisha Uzi huu hivi kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA ni kozi inayohusu mambo gani na unaweza kujiendeleza baada ya kumaliza kozi hyo na kujiunga...
Wakuu habari za leo!
Natumai mu wazima wa afya.
Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua...
Kwa wale tuliopitia Makongo kuanzia enzi zabkuvaa kaptura mpaka suruali tukutane hapa kama wahenga tukumbushane ya kihenga kuanzia makundi ya NO LIMIT SOLDIERS, FEHAJ SISTERS....
Bila ya...
Habari wanajamvi,
Tukiwa tunatazama michezo ya Olimpic nchini Ufaransa ni wakati wa kujitafakali na kupitia kwayo tukaja na mikakati ya muda mrefu kwenye michezo. Tumewekeza sana kwenye majengo...
Habari za majukumu wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu;
Ndugu wanajukwaa naombeni ushauri wenu hasa kwa nyie wazoefu na hii kitu inayoitwa...
Habari za muda huu wadau
Nimekumbuna na changamoto hii wakati wa kufanya application NACTE, nimefanya mawasiliano na chuo husika ila sijapata msaada wowote hivyo nimekusudia kwenda NACTE.
Kuna dogo niliona nimsaidie kiutani nikamfanyia application za diploma.
Sasa alichaguliwa HGK shule moja moshi ila kule kwenye chuo pia amepata diploma civil engineering.
Hapa anatakiwa afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.