Kama hujasoma chuo cha Public au FBO basi una hasara sana, hapa namaanisha kwa level zote, vyuo vya kati na vya juu.
Vyuo vya Private vinajua kutoza ada kubwa tu na kufaulisha wanafunzu kwa...
Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM,
Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E,
Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4
ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political...
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua...
1 Programs in Cluster One
Students in cluster one must be admitted in the following programs:-
i. Health and Allied Sciences
Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational...
Habari wanaJF,
Naomba kuuliza kwa sisi tulimaliza mwaka huu na tunahitaji kuendelea na masomo, tutakuwa na muda wa kuomba mkopo na vyuo kutokana na deadline waliyoweka?, Naomba kupata uzoefu kwa...
Hivii mtu akitaka kusoma AMO afate taratibu zipi kwa sasa hivi....?
Japo kwa Tanzania haipo,je akitaka kusoma nje inawezekana??
Na taratibu na vigezo zipoje???
Habari zenu,
Kwa mtu anayesoma vikindu teachers college, naomba kujua, anayetaka kuanzia ngazi ya diploma kwa ualimu wanampokea, na ada bei gani.
Nimejitahidi kuwapigia simu hawapokei.
Habari wana bord.
Kichwa cha habari chahusika.
.Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa...
Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49...
Habari zenu wana Jamii Forums.
Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa...
Hii inatokana kwamba mimi na wenzangu tumekuwa tukipewa ushirikiano mdogo sana hapa chuoni, kwamba mpaka sasa niko mwaka wa tatu na ninatalajia kuhitimu masomo mwaka huu wa masomo 2023/2024...
Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka.
Sasa...
By professional ni accountant but nmepata fursa ya kusoma Coding. Naomba kujua how they relate. Kwa career yangu PYTHON itanifaidisha vipi?
Naombeni mchanganuo🙏🏼
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.