Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka...
Wahitimu wengi wanalia na mfumo wa kupata AVN kupitia NACTVET ili kuwawezesha kuomba masomo katika elimu ya juu.
Wahitimu wengi wanatia huruma kukoseshwa fursa ya kusoma kwakukosa AVN na sababu...
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha...
Waziri wa Elimu na Mbunge wa Rombo kwa mwenendo huu anaenda kuua zaidi Elimu yetu. Ukiangalia katika uwekezaji wa Elimu yetu ,Waziri Mkenda amehamishia nguvu kubwa katika uwekezaji katika programs...
Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook
Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine...
Wakuu habari zenu naona ajira portal wametoa tangazo la udhamini wa masomo Egypt kwa kozi ya Udaktari (MD) ambapo mwisho wa maombi ni tarehe 5 August.
wenye Uzoefu naomba experience ya jinsi ya...
Place six matches as shown, and then shift one match without touching the others so that the new arrangement shall represent an arithmetical fraction equal to I. The match forming the horizontal...
Wakuu kwema?
Nina dogo hapa anataka kusoma kozi zinazohusiana na Biashara, kwahivyo ninahitaji ushauri kwa mawili!
1. Nataka mumshauri dogo kozi nzuri ya biashara ya kusomea!
2. Chuo Kizuri kwa...
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB.
Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze.
Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap??
Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu...
Habari wanajamii,
Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.
PMP® ni nini?
PMP® ni cheti cha kitaalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.