Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu leo katika utulivu wangu nimefikilia kwamba bandari ni ni moja ya sehemu ambayo kwa kijana wa sasa anaweza kunufaika na ajira ya mapema kama akisomea kwa wakati huu ambapo Nchi yetu...
0 Reactions
4 Replies
462 Views
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo tajwa abakwa adi kufariki dunia na habari kutoka kwa wanafunzi hapo wadai watu takribani 30 wamekamatwa. NOTE: Picha zinazoonesha Mwili wa Marehemu...
5 Reactions
495 Replies
113K Views
Bodi ya mikopo imefungua rasmi dirisha la maombi. Kazi kwenu.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi hasa darasa la kwanza mpaka la 7 Wale wanajua Siri zetu tangu tunajikojolea Darasani Alafu kuna yule rafiki yako ambae ilikuwa kila Siku...
5 Reactions
34 Replies
918 Views
Habarini wana JF : Kuna dogo apa amemaliza F4 last year ,alkua anasoma masomo ya sayansi lakin comb hazikubalance akapangwa HKL lakin nliongea naye na tukakubaliana n bora aende chuo moja kwa...
2 Reactions
8 Replies
595 Views
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k. Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha...
6 Reactions
48 Replies
869 Views
Je, ukisoma CBG, A level unaweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor of Science in Nurse Anasthesia.(BSc Nurse Anasthesia)?
2 Reactions
5 Replies
737 Views
Wakuu habari, Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa. Mbarikiwe.
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Binafsi nina mdogo wangu anemaliza kidato cha sita ana ufaulu wa 1.5 PCB Embu anaejua jinsi ya ku apply anielekeze
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Habr wanjf. Kwa upendo kabisa naomba kuwashauri wazazi wenzangu, ni vyema kuwa na maono ya mbali kuhusa safari ya maisha ya vijana wetu,kama kijana amefaulu form six au form four ni vyema aende...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua...
2 Reactions
0 Replies
336 Views
Benki kuu ya Tanzania(B.O.T) imetangaza scholarship katika mwaka wa masomo 2024/25
4 Reactions
2 Replies
935 Views
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa...
0 Reactions
5 Replies
624 Views
Wakuu salam za hap jukwaani. Leo kuna kitu nilikuwa nafikiria sana.kama hapo title inavyosema.hivi kweli mwanadamu anatokana na nyani yani kwaakili ya kawaida tu unaweza kujiambia mwenyewe mm...
2 Reactions
12 Replies
463 Views
Kwa wale tunaotoka DIPLOMA Kwenda DEGREE , Mwenye changamoto yoyote inayohusiana NA jinsi ya Kupata AVN NUMBER Nicheki kwa namba Hizi Tusaidiane
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa anaefahamu naomba msaada...mtu mwenye diploma ya clinical officer na akapata gpa chini ya 3 Je akisoma foundation kozi akafanikiwa kupata GPA zaidi ya hapo... Inawezekana kwenda kusoma MD...
3 Reactions
5 Replies
768 Views
Salaam wana-JF Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi. Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Naomba mnisaidie kunielewesha kuhusu hii course, na maeneo gani unaweza kuajiriwa baada ya kuhitimu?
1 Reactions
4 Replies
965 Views
Back
Top Bottom