Hello, I hope you are fine,
My name is Godfrey, I am a nursery School teacher in diploma level.
I have experience of 5 years and above, here am looking for the job of teaching nursery school. My...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.
Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo...
Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano.
Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango...
Katika tafiti zangu zisizo rasmi ila zenye ukweli leo nilijikita katika vyuo vikuu 5 ambavyo vinavyotoa degree " hapa nchi ,kati ya vyuo hivyo 3 ni maharufu sana hapa Tanzania, tena hiki kimoja...
Kwa walendugu zangu wa 2000 pale udsm mnakumbuka haka kamchezokalipokuwa kanawaumiza madada wetu ingawa kwa bahati mbaya wengi nawajuawazuri hivi leo hatuko kano kutokana na kuambukizwa kisa...
Jamani wana jf naomba mnisaidie katika hili,juzi katika pita pita zangu nilikuta watu wakizungumzia kuhusu degree ambazo wanachuo huzipata huko wanakoita chuo kikuu.
Sikuelewa pale nilipomsikia...
Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania.
Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo.
1. Law School...
Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.
EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na...
Completed ‘A’ Level Studies from 2016 onwards. Two principal passes with a total of 4.0 points in Two Subjects defining the admission into the respective programme (where A = 5; B = 4; C= 3; D =...
Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma.
Matokeo.
Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
Naiandika hii ppost kwa sababu nimeona kuna uzi wa "nifenyeje wanangu wawe na akili darasani"
Kwanza kabisa niseme nyumbani kwetu hili lilikuwa ni tatizo kwa watoto wote labda kasoro kwa mdogo...
Habar WanaJF. Naombeni msaada juu ya hiyo course inahusu nini, waweza ajiriwa Kama nani, soko lake ajira na je, ni chuo gani kiko vizur kwenye hiyo course Kati ya NIT & SAUT. Maelezo zaid namba...
Je, ipi ni kozi bora na mzuri kati ya bachelor of economics and finance na bachelor of banking and finance
Na ningependa kujua kozi hizo zinatoa kazi gani. Yaan ukisoma kozi mojawapo ya hizo...
Habari,
Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.