Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kuuliza, mimi nina mdogo wangu wa kiume kapata ufaulu wa two ya 18 kidato cha nne na alijaza combination ya pcm kama chaguo la kwanza, matokeo yake ni physics C, chemistry B, mathematics C...
0 Reactions
10 Replies
823 Views
Habari zenu wapendwa Mimi natamani nikasome Information technologies (IT) lakini nakatishwa tamaa na watu wanasema hakuna ajira
6 Reactions
13 Replies
567 Views
Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa...
110 Reactions
213 Replies
17K Views
Mara hesabu za logarithm mara interagration vitu kibao ambavyo ukija kwenye kazi huku kuanzia za design za miradi na ujenzi wa uhandisi hukutani nazo yaani tunaua vipaji vingi sana ambavyo watu...
5 Reactions
18 Replies
500 Views
Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari wa kuu. Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi. Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu...
1 Reactions
4 Replies
475 Views
Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi! Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto...
2 Reactions
5 Replies
310 Views
Baada ya matokeo kutoka maswali yamekuwa mengi kulingana na kombi ambazo vijana wamepangwa. Mfano CBG ni moja ya kombi inayoonekana kuwashtua wengi kutokana na somo moja la Geography, kwamba...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Je Ni kweli kuwa matokeo ya form six 2024 yanatoka 12 July kulingana na picha hiyo hapo chini
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Makala hii inasaidia kuelewa ni kozi zipi rsity.
2 Reactions
2 Replies
610 Views
Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya...
1 Reactions
9 Replies
652 Views
Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa...
2 Reactions
5 Replies
575 Views
Nisaidieni list ya vyuo vunavyotoa kozi ya mechanical engineering
2 Reactions
6 Replies
277 Views
Habari wanaJF Lengo na madhumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview. Hivyo kwa...
2 Reactions
6 Replies
398 Views
Kwa graduate wa Clinical Officer ambao wameshindwa kumaliza na GPA nzuri i. e zaidi ya 3 ili waweze kuendelea na masomo ya ngazi inayofuata, hivi inawezekana kusoma foundation kozi? Na vyuo gani...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Soko la ajira kada ya mifgo baada ya kumaliza shahada au stashahada ya animal health and production likoje..je kuna usumbufu wa kupata ajira? kama hujui pita hivi(kimya kimya)
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wakati mjadala wa mgawo wa umeme ukizidi kushika kasi, na jana kijana Zitto kuamua kuvunja ukimwa kwa kutoa mapendekezo ya aina mbili; kushinikiza IPTL iwashe mitambo wakati mazungumzo...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
Wakuu habari ya majukumu! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari Wana JF ....nimefanya maombi ya chuo diploma serikalini ila sijapata hovyo naulizia chuo Cha private kizuri ambacho naweza pata mojawapo ya hzo course nikasome maana Nina mpango wa kwenda...
0 Reactions
8 Replies
687 Views
Back
Top Bottom