Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

The energetic used by the teacher to impart knowledge and skills to 21th century children is indirectly proportional to the content they pay back.....🤔🤔🤔mtu za physics tu ndio zicomment mtu za...
4 Reactions
5 Replies
205 Views
Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu.. Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao...
1 Reactions
2 Replies
222 Views
Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology . Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine...
1 Reactions
2 Replies
499 Views
Habari wakuu. Nimesikia tetesi hii ni elimu muhimu sana kuifahamu. Je, nani anaifahamu atueleze kidogo
2 Reactions
4 Replies
450 Views
Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini? Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi huu. Kwa tunaotarajia kuomba INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM) tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Chuo hiki...
1 Reactions
2 Replies
494 Views
Habari zenu wakuu Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Najua kuna watu wamewahi kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM. Hivi mtu aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma hiyo kozi UDSM.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF. Leo tupate kufahamishana kwa wale wasiojua na kukumbushana kwa wale wenye kujua haya yafuatayo kuhusu mto Amazon,ambao unapatikana Amerika ya kusini: Mto Amazon inasemekana ndio...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo...
4 Reactions
51 Replies
1K Views
Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri? Matokeo yake yako hivi: Math: F History: D Civics: D Kiswahili: C...
2 Reactions
12 Replies
913 Views
Hizi shahada mbili tofauti, sema kwa kuzingalia utasema ni sawa
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Ukienda kusoma hapo, ujipange. Hata rushwa kama zipo hapo ni kwa shida sanaaa.
2 Reactions
6 Replies
419 Views
Anonymous
Waalimu UDOM wanalazimisha wanafunzi kutoa hela ya mahafali. Mahafali yenyewe siyo ya lazima tunajua mahafali ya chuo ndo ipo November na siyo lazima nifanye. Lakini baadhi ya walimu Wana taka...
1 Reactions
10 Replies
518 Views
Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo...
7 Reactions
9 Replies
662 Views
Wakuu poleni na majukum, Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi. Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya : PHYSICS. " F"...
0 Reactions
12 Replies
919 Views
Habari wapendwa, Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16. Naomba kwa anaejua anisaidie
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau wa Jukwaa hili la Elimu. Naomba anayejua wapi naweza kupata Vitabu tajwa hapo juu anisaidie. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Back
Top Bottom