Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Japo nasikia ukiwa na D mbili unaweza kwenda
3 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wanaJF Naomba uelewa wa kitu kinachoitwa project management proffessional(PMP), ni kitu gani? wahusika ni wapi wanatakiwa kusoma? kuna faida zipi ukisoma na hasa kwa muajiriwa wa...
1 Reactions
1 Replies
350 Views
Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa...
2 Reactions
13 Replies
693 Views
Wasalaam wakuu...... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kipindi cha awamu ya chuma,jiwe tulishuhudia huduma bomba sana kwa watumishi wa umma ngazi zote, kuanzia chini hadi juu, ila baada ya kuondoka inaonekana kaondoka na vyote mapanya buku yametawala...
2 Reactions
19 Replies
587 Views
Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Habari za leo wakuu, Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5. Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Nawasalimu kwa salamuu ya jamuhuri Humu ndani naona watu mnawatisha watoto kuhusu GPA sikuhizi GPA kubwa zimebebwa na vilaza ambao wengi wao wamenunua mitihani kwa walimu wale, ambao wanatumia...
9 Reactions
76 Replies
7K Views
Ndugu wadau, nilitaja kujua combination ipi kati ya PCB na PCM ukifauli inaweza kukupa uwanda mkubwa wakusoma course nzuri huko mbele za safari baada ya form six. Asante sana.
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Anonymous
Suala la mtaala mpya kidato cha tano 2024 bado ni mkanganyiko lipi tamko la serikali juu ya hilo. 1. Kuna baadhi ya shule walishapewa semina juu ya utekelezaji wake lakini shule zingine bado. 2...
2 Reactions
4 Replies
658 Views
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:- PHYSICS-A CHEMISTRY-B A/MATHS-A Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable...
4 Reactions
66 Replies
23K Views
Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena. Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary" Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !? MUNGU AWABARIKI.
3 Reactions
3 Replies
323 Views
Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo...
5 Reactions
4 Replies
389 Views
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana...
2 Reactions
3 Replies
315 Views
Mwanafunzi huyu ni private candidate Ndanda Secondary School Center. 💪💪
4 Reactions
8 Replies
450 Views
Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi baadhi ya vidokezo muhimu kuhusu PMP (Project Management Professional) certification. PMP ni cheti kinachotolewa na PMI (Project...
2 Reactions
3 Replies
514 Views
Wakuu kwanza nitangulize shukrani. Wakuu mimi ni mhitimu wa diploma in nursing and midwifery, mwaka jana ndo nimemaliza elimu yangu ya diploma mwakani nataka nikapige degree in nurse anasthesia...
1 Reactions
3 Replies
184 Views
Back
Top Bottom