Ni kweli mtoto wako ana akili kwa sababu anapata A. Na hapo unaanza kumkaririsha kuwa atakuwa daktari, injinia n.k
Mbele ya safari anajua kuwa na uwezo mkubwa lakini hafanikiwi kufikia yale...
Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka...
Habari za muda wanaJF,
Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo.
Chemistry - E
Bio - E
Geography - D
BAM - E
G.S - D
Sema kweli matokeo...
Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu.
Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic...
Wana JF,
Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio...
Selection za chuo kikuu hazijawatendea haki baadhi ya waombaji, Kuna mwombaji ameandikiwa Hana sifa Kwa sababu alifeli somo Moja la core ilihali alifaulu somo hilo. Pia baadhi ya vyuo kama UDSM na...
Ninaye classmate Wangu jaman yeye kachaguliwa bachelor of laboratory science and technology na education ya science.
Sasa hajui aendako ni wapi kaniomba ushauri na mimi nimeleta kwenu wana JF
Kama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8
Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia...
Kwema. Nina mdgo wangu anataka kusoma KOZI ya community development Kwa level ya cheti binafsi nilipenda asome procurement . hii ya community binafsi naona kama uwanja wa kupata kazi ni mgumu japo...
Kama unavojua kusoma ni jambo la muendelezo unapopata fursa soma tu, kama mnavojua mimi ni mwalimu wa ngazi ya digrii katka masomo ya sayansi lakni nataka kuongeza kpato na ujuzi wa kula pesa za...
Habari za jioni wana JF ..nipo katika njia panda kuchagua kati ya Business administration au Economics ili niweze kuisoma , ningependa kufahamu au kupokea ushauri kutoka kwa wana JF.
Ipi inafaa...
Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule...
Mimi nina elimu ya kidato Cha SITA ambapo nilisoma PCB na nikipata daraja la pili nikiwa na D flat.
Nimehitimu kozi ya Utabibu [Clinical Officer] ambapo nimepata wastani wa B+.
Nahitaji kusoma...