Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nijuavyo, kuna namna mbili za kujifunza: ~ Informational learning! ~ Transformational learning! INFORMATIONAL LEARNING huhusisha kufundishwa. Ndiyo mfumo unaotumika shuleni. Lakini...
1 Reactions
2 Replies
368 Views
Habari wakuu Kuna mtu anataka kusoma bachelor za computer either IT, computer science evening class hvyo anauliza vyuo gani vinatoa Evening class upande wa hizo degree. Pia kwa upande wa degree...
3 Reactions
4 Replies
559 Views
Kwa wanafunzi wa undergraduates, Diploma au yeyote mwenye uhitaji wa kuelewa kuhusu course ya Computer Science katika level ya postgraduate inayotolewa udsm, unaweza kuniuliza. Pia unakaribishwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu,, samahani naomba kujua gharama za kusoma! kusoma Masters ya strategic governance katika chuo cha diplomasia maana nimeangalia kwenye prospectus ya chuo hawajaweka tuition fees...
1 Reactions
4 Replies
322 Views
Habari wakuu, Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani wanajanvi, sioni kama ni mantiki kumruhusu mtumishi akajiendeleze kwa kuchukua shahada ya pili ya ualimu kisha akirejea kazini serikali inashindwa kumlipa mshahara wa masters. Hii...
2 Reactions
27 Replies
12K Views
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist...
3 Reactions
4 Replies
948 Views
Ni umri gani no mzuri kumtahiri mtoto?
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
1 Reactions
0 Replies
194 Views
NAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUTAMBUA SCIENTIFIC CALCULATOR ORIGINAL. maana kesho ndio tunaenda kununua. Maana kuna duka walisema 58000 lingine wakasema 30000.
1 Reactions
27 Replies
6K Views
MAKUBWA! ETI "WHO IS KNOW?" - "NANI ANAJUA?". Ndugu zangu, kuuliza "Nani anajua?", hatusemi "who is know?". Huwa tunasema, "who knows?". Hivyo unapotaka kuuliza, "nani anajua?", wewe sema "who...
3 Reactions
1 Replies
205 Views
Habari wakuu. Natumai hali zenu zote ni nzuri. Kwa wale wenye changamoto, Mungu awajalie. Nina swali kuhusu kusoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili. Mfumo huu wa Elimu ya Secondary upo hivi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari, naomba msaada nimemaliza diploma ya secretarial gpa 4.2 nataka kuapply chuo mwaka huu je, naweza apply coz ya PSPA?
1 Reactions
17 Replies
464 Views
Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'D' B/MATH - 'F' Kuna haja ya advance? Kama ni chuo kozi ipi itamfaa?.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua. Soma: - KERO - Serikali...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mpwa wangu amefaulia Arusha sekondari Nina shida na soft copy ya joining instruction form kwa ajili ya maandalizi
2 Reactions
4 Replies
379 Views
Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
2 Reactions
54 Replies
1K Views
Back
Top Bottom