Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu habarini za wakati huu natumahi muu wazima wa Afya me upande wangu me ni mzima kabisa.. Moja kwa moja naomba mnipe ushauri nina mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ila...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D Amepata Division III Point 23 Hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha HUMAN RESOURCES MANAGEMENT...
1 Reactions
5 Replies
472 Views
Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
0 Reactions
3 Replies
332 Views
Hivi ni kwanini kuna usiku na mchana?
0 Reactions
3 Replies
451 Views
Ninafanya application ya diploma ila nikimaliza advance sasa sehemu ya ku add qualification hamna qualification ya advance Jambo la pili sioni sehemu ya ku submit maombi na sijui kama nilipofikia...
0 Reactions
1 Replies
271 Views
Habari wakuu. Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha. Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa...
3 Reactions
20 Replies
931 Views
Nimepata Phy D Math D Chem C Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo MSAADA WA MAWAZO WAKUU...
1 Reactions
14 Replies
651 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu...
0 Reactions
9 Replies
700 Views
Habari zenu wakuu, Naomba Kujua gharama na muda wa "Course" ya elimu ya ufundi wa magari katika chuo cha VETA au chuo chochote. Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nauliza ni lini wanafunzi kutoka chuo cha mtakatifu Augustine Tanzania SAUT watasaini hela zao za kujikimu awamu ya nne angali wenzao kutoka vyuo vingine washasaini pia huu ucheleweshaji kuna...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kilichopo miyuji Dodoma kimepakana na kambi ya makutupola kwa upande wa kaskazini na chuo cha mipango(IRDP) kwa upande wa kuzini, ni chuo pekee katika ukanda huu wa...
2 Reactions
12 Replies
18K Views
Salaam wadau, Nimekuwa navutiwa sana na utoaji wa elimu kwa njia ya project-based learning, kwa jinsi inavyoweza kuwajenga watoto kuwa na uelewa wa hali juu ma vitu wanavyojifunza na mazingira...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa. Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana...
2 Reactions
2 Replies
453 Views
Salaam Wanajamvi Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau wa jamii forums kwema? Niko hapa kupata mawazo yenu kama ilivo kawaida kupeana ujuzi katika vitu vinavyotuzunguka, nina dogo langu kahitimu advance mwaka huu na kapiga hgk, so dogo now huwa...
2 Reactions
0 Replies
606 Views
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG. Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi...
18 Reactions
79 Replies
5K Views
- Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa...
1 Reactions
1 Replies
685 Views
Vijana Batch one tayari,Login kwenye account yako ya SIPA https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/heslb-unveils-first-batch-of-sh159-7-billion-loan-recipients-4408016?s=08
3 Reactions
753 Replies
70K Views
Back
Top Bottom