Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira. Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina...
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
515 Views
Habari zenu, nilikua napenda kupata ufafanuzi kwenye hizo courses kwasababu mpka sasa hvi bado nawaza ipi ni course nzuri zaidi kuliko nyingine na inafurusa Pana katika jamii na Unayo weza...
3 Reactions
5 Replies
691 Views
Salaam wana jamvi Kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili Samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza? Maana...
4 Reactions
81 Replies
6K Views
Safari hii naona mmeamua kufuata kanuni mnaozijua ninyi maana kila tulichoaminishwa hamfanyi. 1. Mwanafunzi wa div 1 ya A zote anakosa scholarship ya SAMIA na mkopo hakupata. Sasa hizo kauli zenu...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu. Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu. Kila nikimpigia Mkuu wa...
2 Reactions
3 Replies
605 Views
Assessing the effectiveness of firewall Technology in prevention of network attacks in organization's infrastructure; The case of.........
0 Reactions
2 Replies
316 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mtu anaeweza kuniambia duka la vitabu kwa kupata vitabu hivi
0 Reactions
14 Replies
475 Views
Kijana amemaliza form four na pass za Phy C, Biology B, Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi. Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imekaaje...
0 Reactions
4 Replies
505 Views
Wakuu nahisi nina kitu. Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa. Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii. Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
11 Reactions
202 Replies
4K Views
Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
0 Reactions
18 Replies
813 Views
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona Serikali inataka...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Jaman nisaidieni kimawazo hapa mm nimefaulu kwenda advance lakin nimepangwa kwenye kombi ya HGL na mm sitaki kusoma HGL nataka nisome CBG na nimefaulu hesabu kwa grade "c" na komb ya CBG...
0 Reactions
3 Replies
420 Views
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale ambao Wana ndugu, watoto au kama ni wewe, unaweza kupata majibu Yako hapa fasta kama umeshindwa kuona mwenyewe. Tuma jina kamili la mwanafunzi, jina la shule aliyokuwa anasoma na mkoa.
1 Reactions
0 Replies
398 Views
Wadau habari za majukumu naomba mwenye uelewa kuhusu utaratibu wa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂 Ndomana nime kuja...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu Habari za Majukumu. Imekuwa ndoto yangu kuanzisha na Kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati,kinachotoa Elimu ya stashahada na astashahada hasa kwenye Kada ya Afya.Tayari Nina Eneo la Kutosha...
4 Reactions
5 Replies
511 Views
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
0 Reactions
0 Replies
182 Views
habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Back
Top Bottom