Habari zenu ndg Watanzania na wasio Watanzania tulioko humu ndani?
Ndugu zangu awali ya yote poleni na majukumu zaidi shukurani kwa MUUMBA.
Ndungu zangu nipo mbele zenu kwa ombi moja la kuomba...
Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni Kituo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini, Kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini. Kituo kinatangaza nafasi...
Ndugu zangu ,
Naitwa BOAZ SIMON BIGARAGU
Niko iringa kwa sasa naomba kushare ujuzi wangu kwenu juu ya biashara ninayoifanya ya kuuza mifumo simamizi ya uendeshaji wa shule.
Nina mifumo ya...
Hivi karibuni niliona kuna andiko lipo JamiiForum kuhusu Shule ya Jakaya Kikwete kuwa Wanafunzi wanalazimishwa kununua karanga utoka kwa Walimu wao, nami nikaona nishee hii kero ninayoiona.
Huku...
Hello Wana JF,
Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome.
Amehitimu kidato cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya pointi 6 yaani BBB.
Ipo wazi Muhimbili MD hapati...
Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program)...
Habari za leo watanzania wenzangu. Mimi ninaomba kuuliza kitu kuhusu ufadhilii serikali inaoutoa nje ya nchi. SerikImekuwa ikitoa ufafhili ambayo mimi naweza kusema ni wa kisiasa zaidi na hauna...
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.
Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi
tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji...
Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu...
Habari wana taaluma.Mimi nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2010 masomo ya biashara.
Masomo yote nilipata D isipokuwa Book-keeping 'A' , Mathematics 'B' na History 'C'.
Niliendelea advance masomo ya...
Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa.
Hata ule...
Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE).
Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo.
College ya CIVE ina jumla ya...
Habarini wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama.
Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo.
Mtoto ana umri wa miaka 4 na Β½
Naomba...
Nimemaliza kidato cha nne hapo mwaka jana.
Ninapenda sana kuchukua PCM, But kwa uelewa wangu mdogo na maoni ya baadhi ya watu inasemekana kwamba PCM Haina ajira serikalini unless kwenye makampuni...
Kuna kijana anataka kusoma degree bado yupo njia panda kutokana na vigezo na pendekezo lake kuna Business administration, Public administration na HR je? ni ipi ni kozi nzuri kulingana na soko la...
Leo mnamo tarehe 3/5/2024 ni siku amabayo uchaguzi wa chuo kikuu ardhi ulipaswa kufanyika kulingana na almanac ya chuo na taarifa hio wamafunzi wote walikua nayo na wagombea walijipanga kwa ajili...