Kulinganga na wakati tuliofika kitechnology interms of our country Long term Strategies
Course ambazo vijana waliomaliza form four Muda mrefu mf 2012 na Wana ndoto ya kujiunga chuo ili walau...
Habari,
Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science
Mpaka sasa nina utata niende Advance au...
Wakuu habari zenu..
Kutokana na ulimwengu huu unavyobadilika ...teknoljia imekua kwa kasi mno tofauti na zamani..
Jambo ambalo limerahisisha sana upatikanaji wa kazi za fasihi kama hadithi...
Ndugu Mzazi/Mlezi wa JESSY MBOYE Taasisi yamfuko wa elimu na ufadhili TESA imemchagua mwanao kumdhamini kusomeshwa bweni kidato cha 5 na 6 kwa kumlipia ada yote isipokuwa mzazi/mlezi utachangia...
Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule...
Hello great thinkers,
Mwaka 2021 nilikua nafanya mtihani wangu wa mwisho wa diploma ya pharmacy lakini sikuweza kumalizia mitihani yangu ya mwisho miwili iliyokua inafanyika kesho yake kwasababu...
50 Powerful reading tips from the four smartest readers I've come across
1) Read what you love until you love to read.
2) Reading a book isn’t a race—the better the book, the more slowly it...
Habari wakuu!
Naomba kufahamu kama hizi kozi mbili zina tofauti au ni sawa ( Clinical medicine na Clinical Officer).
Je ni nzuri kusomea kwa level ya Diploma?
Hello wajumbe wa huu uzi
Kama kichwa kisemavyo, tumezoea kuona kila mwaka serikali inawafanyia recategorisation watumishi hasa waliojiendeleza kielemu. Hili suala kwa mwaka huu 2024...
Mimi ni mzazi na mhathirika wa haya yanayotokea, Shule ya Sekondari Longido iliyopo Wilaya ya Longido, Mkoa wa Arusha, shule ina Wanafunzi wengi sana kupita kiwango.
Jumla ya Wanafunzi ni zaidi...
Ndugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda.
Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu.
....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye...
Endowment fund ni nini?
Kwa kifupi, ni mfuko ambao fedha za za michango na misaada kwa chuo huwekwa na kuwekezwa sehemu mbali mbali ili zizalishe faida. Hiyo faida inatumika kutunza thamani ya huo...
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.
Courses ni masters ya leadership na education leadership.
Uingereza nimepata vyuo vinne.
Sweden chuo 1
Finland 1
Poland 1
Tatizo ni uwezo wa...
Wakuu, imekuwa ni adimu sana kuona Wabongo tukishikana mikono ili kuvuka hatua moja kwenda nyingine yenye mafanikio. Tumezoea kupambana wenyewe na wengi wetu huwa hatupo wazi inapokuja suala la...
WanajamiiForums naomba kuuliza
Nahitaji msaada pia
Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021
Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa...
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and...
Wakuu poleni na majukumu! kama Kuna mtu anafahamu seemu wanapo uza Hawa viumbe (symbiotic microbes) please naomba anisaidie maana kuwa extract ni kazi sana please 🙏
Habarini wana jamiiforums,
Ninaomba mwenye mitihani ya pre-mock na mock ya Basic Mathematics Kidato cha nne 2024 ya Wilaya na Mikoa mbalimbali atume humu.
ASANTE