Habari wakuu
Eti nauliza wale wanaopataga wafadhili binafsi mfano mtu tu anajitolea kupeleka shule ukajiendeleze kielimu hapahapa Tz pale ulipokwamia huwa wanawapata wapi? Wanawapataje? Na je...
Sorry guyz mm nimemaliza form 4 na nimepata 1.7 NECTA with A tisa na B moja ila nataka kuwa doctor and sitaki kwenda A level because naogopa physics na Biology itaniangusha and sitoweza kupata...
Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei?
Msaada wanaujua hili suala.
VYOO Katika Shule ya Msingi Rubale iliyopo kijiji Businde Kata Businde Wilaya ya Kyerwa Mkoani kagera vimekataa na kujaa kitu kinachofanya wanafunzi kukusaidia vichakani wazazi wamechagishwa hela...
Je, sheria ya elimu ya juu Nchini inamruhusu mtu kumiliki shahada mbili katika tahasusi mbili tafauti yaani niwe na degree ya Civil engineering kutoka UDSM halafu niende zangu CBE kuchukua...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kujua kuhusu hali ya ubora wa chuo cha Kampala International University kwa sasa, maana hapo miaka ya nyuma nliskia kashfa nyingi kuhusu hiki chuo.
Wakuu ule msemo wa usikosee kozi ya kusoma unanitesa nipo njia panda je kozi ipi nzuri ya afya ya kusoma kati ya hizi :-radiology, pharmacy au medical lab
Habari za muda huu wanaJF, ni kijana wenu nimeleta Uzi huu tushare kwa pamoja, hivi inakuaje mtoto anafika hadi level ya sekondari kidato Cha kwanza hajui kusoma yaani haelewi chochote, na je...
Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani...
Naomba wakuu angalau nipate hata pa kuanzia maana nimesoma diploma katika hii course lakini sina hata connection ya kazi yoyote hii imekaaje please msaada wenu
Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je...
Wanabodi,
Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na...
Ninaomba mnisaidie kunitofautishia kati ya Creditors na Debtors, hizi terms nimeshndwa kuzielewa vizuri.
Hata nimejarbu ku-google lakini sijaweza kutofautisha. Asanteni.
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma
Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana
Najaribu...
Wasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.
Swali linajieleza...