Nimwalim shule yamsingi cheti.. Natafta mwalim wakubadilishana kituo. Aje mwanza sengerema (Buchosa) nije Dodoma wilaya yeyote, Tanga wilaya handeni korogwe kilindi na Tanga mjini, mkoa was pwani...
Habari wandugu,
Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
Kufanya Diagnosis...
Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika...
Habari,wadau wa Jf,
Nlikua nauliza je mtoto aliyepata 1 ya 9 ,na ana ufaulu wa
A-chemistry,B-physics na B- mathematics ,anaweza kuchaguliwa
Shule za vipaji maalumu(special schools) kidato Cha...
Habari wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo X hapa jijini Dar Es Salaam, nikisomea degree ya Information Technology.
Kiukweli Information Technology maarufu kama IT ni Interesting Course, hii...
Wakuu habari za muda huu.
Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali...
Habarini za mchana wadau wa JF,
Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online?
Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka...
Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa...
Habari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne..
Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu...
Nisaidieni jamani,
Nimetumiwa mzigo kutoka Londoni na kampuni la NAPAREX COURIER COMPANY. Aliyenitumia mzigo amesema amekosa kampuni ya kusafirisha mpaka Tanzania.
Hiyo kampuni inaleta mzigo...
Wadau,
Kama mlivyosikia Wizara ya Tamisemi imetangaza ongezeko la tahsusi za kidato cha tano na sita katika michepuo mbalimbali ikiwemo sayansi, lugha, michezo, sanaa, biashara na dini.
Kwa...
Habarini Wana JF,
Kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field.
Maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa vyuoni as laboratory scientist
NB: Nimejaribu...
Wadau kunahii combi mpya ya physics, mathematics na Computer. Hivi hii future yake katika kusoma university or advanced colleagues inawezakuwa ipi? Najiuliza kwenda PCM aun kwenda hii combi kipi...
Habari wananzengo,
Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
Habari wa kuu ,
Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.
Kwa maono yangu...
kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )