Habari wa kuu ,
Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu...
Wakuu msada please kwa yeyote anaefahamu sehemu ambapo naweza pata field ya Mech engineering naomba anisaidie.Sehemu ambapo ningependa nifanyie field kama itapatikana ni dar.
Asanteni.
Nina umri wa miaka 26, nimehitimu Kidato cha Nne Mwaka 2016 na matokea nina C flat 5 na D ya History na Chemistry na F ya Fizikia na Hesabu ndoto yangu ni kuwa na bachelor ya IT nifanyaje wakuu?
Nimewasikia watekelezaji wa mtaala (walimu) na wanafunzi kupitia wazazi wanasema mada zinazofundishwa darasa la tatu zinawadi umri mfano
Kwenye somo la hisabati,jometri iliyokuwa inafundishwa...
Nawasalimu.
Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza.
Msàada jamani.
Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu.
Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi.
Kipengele na:
8. Elimu ya Dini Itatolewa na...
Naomba wadau wa Jamiiforums waweze kufatilia uovu unaofanywa na mwalimu mmoja katika shule ya secondary Kanoge ambayo ipo wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwani katika shule hiyo kuna mwalimu wa...
Habari!
Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;-
i)Umeme wa magari
ii)Umeme wa majumbani
iii)Udereva
Nimekuja kwenu...
Kuna kijana hapa alisoma BSc In mechanical Engineering, mwaka wa 3 semister ya 2 akaugua sana akashindwa kuendelea akaomba kuahirisha, mwaka uliofuata akaahirisha tena akae sawa kabisa.
Alipotaka...
Ninafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1.
Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.
Rejea kichwa habari hapo juu.
Tukiwa tunasubiria Sekeseke la 'kupiga pepa' tufaulu ndio tuajiriwe hebu tupeane dondoo za hapa na pale.
Pepa' itakuaje na labda itakuwa ni content based kwendana...
Nilipokuwa A-level, nilifanikiwa kusoma katika shule mbili tofauti za Bweni.
Vifuatavyo ni visa navyokumbuka
i) Kama mjuavyo, utumiaji wa simu katika shule za Bweni ni mshikemshike. Sasa mie...
Hello habari za majukumu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa.
Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania.
Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo...
Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa!
Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba...
Tanzania inakwenda kuingia kwenye medani za kisayansi kwa lile 'jaribio lake la nchi nzima la kujiachia badala ya kujifungia kipindi cha korona'. A nationwide display of herd immunity at its best...