Population iliolezewa like naona ingetakiwa kuwa update na kuwekwa namba halisi iliopo sasa,mana imeelezewa kuwa chuo kingekua at full capacity after 2020 lakin sasa tuko 4 years after 2020, hii...
Habari,
Naomba kama kuna mdau ana-softcopy ya tamthiliya ya ORODHA anisaidie kunitumia hata kwa kuiweka hapa jukwaani, ni hilo tu muwe na mapumziko mema ya mwisho wa wiki.
Habari
Kama kuna aliyefanikiwa kujaza hizi form (self form) za kidato cha nne kwaajili ya uchaguzi wa kidato cha tano, kupitia tamisemi (selform.tamisemi.go.tz), naomba anipe muongozo au mwenye...
Habari,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha dodoma (UDOM) ndaki ya kompyuta na elimu angavu (CIVE).
Hapa ndaki kwetu (College) kuna tatizo la maji sasa kufikia wiki ya pili maji hayajatoka tatizo...
Salaam Wakuu,
Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE...
Wadau wapi naweza kupata notice za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kulingana na mtahala (syllabus) za wizara ya elimu Tanzania.
Wapi naweza kuzipakua (download) kwa ajili ya...
Habari zenu wakuu
Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi
Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na...
Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie
Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 27, mtoto wa Mkuu wa Kaya, Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.
Shule hiyo...
Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe
1.Epukana na...
Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references.
Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually.
Kwa dunia ya...
Salamu wapendwa
Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi.
Basi Kwenye hii likizo...
Mwalimu mmoja anayefahamika kwa jina la Yusuph wa shule ya Msingi ZIGA ya mchepuo wa kingereza iliyopo katika mji wa Makambako wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe,anatuhumiwa na wazazi kwa...
Nipo katika harakati za kutafuta shule kwa ajili ya kijana wangu anategemea kuanza darasa la kwanza hapo mwakani.
Moja kati shule nilizozipendekeza ni hii st. Matthew.
Nipeni muongozo. Kuna uzi...
Marketing segmentation is an essential tool in marketing used by the marketers to make investments decision.
WHAT DOES IT MEAN? Marketing segmentation is the process of dividing(segment) market...
Amani iwe nanyi want JF..
Naomba kueleweshwa nifanyeje ili kijana apate mafunzo ya urubani.Nasikia gharama ni kubwa sana.. je pana uwezekano wa kupata ufadhili wa serikali au shirika lolote ili...
Habari wadau wa JF,
Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania.
Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.