Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali itusaidie wanafunzi wa CBE Campus ya dar tumejisajili diploma ya miaka mitatu lakini hadi sasa hatujaanza kusoma na tayari tumemaliza certificate lakini wanasema hatuwezi kuendelea kusoma...
1 Reactions
7 Replies
731 Views
kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari. Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni. Naomba aniDM.
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Msaaada kujua kama ofisi za Baraza la mitihani Tz, je zimeamishiwa Dodoma au bado wapo Dar, nipo Arusha kwa hiyo nataka nijue wapi kwa kwenda! Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau mwaka jana nilimsaidia mtu kuomba chuo diploma. Alikuwa amechelewa hivyo katika kutafuta nikapata NIT wako na second round application, nikamuombea hapo sasa mpaka leo akaunti yake inasema...
0 Reactions
3 Replies
487 Views
MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI. interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke ...
15 Reactions
120 Replies
6K Views
Halo kila mtu I am a scientist from Germany and very interested in tanzania. This is why i applied for a funded research project with the university of dar es salaam. Since I need the actual...
0 Reactions
69 Replies
25K Views
Mambo vipi wakuu? Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7. Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari? Iwe na sifa zifuatazo: -Chakula kizuri (muhimu sana)...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Kishikwambi cha msaada, vingi vimezimwa hamuna bando. 2. Hakuna safari wala posho. 3.Kusimamia mtihani posho ya elfu 40 wapo tayari kufanyiana figisu. 4. Kusahihisha mtihani posho haizidi...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu wadau, Wote tunajua kwamba mtaala mpya umeanza mwaka huu 2024 kama ilivyoelezwa mara nyingi na wakuu wa wizara ya Elimu na hadi Waziri mwenyewe. Kadiri ya maelezo ni kwamba shule za...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu msaada nimekata shauri la kufanya CPA na kwa mujibu wa taratibu nitaanza na level ya foundation mwenye ushauri wazo maoni au hata papers na materials karibuni wazee CPA lazima ipatikane...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Ningependa kupata mwongozo kutoka kwa wazoefu wa Elimu ya juu. Hivi ikitokea mtu akawa ana muda wa kutosha na ana uwezo wa kumudu kufanya kozi mbili tofauti kwa ngazi ya shahada ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza selection za Form Five mwaka huu tayari zimetoka?
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo...
3 Reactions
11 Replies
872 Views
Waziri wa @ortamisemi Mh.@angellah_kairuki na Waziri @wizara_elimutanzania Mh. @professoradolfmkenda . Tunaomba mlione suala hili malalamiko yanazidi kuwa mengi. # Wengi wakilalamika wamepangiwa...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa...
1 Reactions
48 Replies
27K Views
Wakuu naomba kujuzwa NTA level la muhitimu wa Kidato cha Nne kwa mtu anaye apply Chuo cha Diploma
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakulu. Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora. Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia...
2 Reactions
64 Replies
3K Views
Back
Top Bottom