Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Hawa ni watu ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
NILIVYOKUTANA NA MZEE SUED KAGASHEKI KATIKA MAZUNGUMZO NA DOSSA AZIZ 1980s Mmoja katika marafiki zangu ameniletea picha kadhaa za wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika Kanda ya Ziwa, Bukoba...
11 Reactions
88 Replies
9K Views
[emoji117]Mwaka 1958 alichapisha kitabu kilichopata umaarufu mkubwa duniani kote kikitafsiriwa kwa lugha zaidi ya hamsini. Kitabu hiko kiliuza takribani nakala milioni 15 huku kikitumika...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hawa ndiyo watu asili wa Madagascar kabla ya ujio wa Wakoloni. Wareno na Goa walioana na wenyeji kabla ya utawala wa Kifaransa.
5 Reactions
4 Replies
1K Views
MATAYARISHO YA NYERERE DAY NA HAMZA KASSONGO ON SUNDAY Hamza Kassongo amenihoji historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na jinsi alivyoishi na marafiki zake aliojuananao siku...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na...
26 Reactions
77 Replies
8K Views
Inasemekana kuwa kuhamisha watu waishi kwenye vijiji vya ujamaa ndiyo uhamishaji wa watu mkubwa zaidi kuwahi kutokea Africa. Inasemwa kuwa katika miaka minne, toka 1974 hadi 1977 watu milioni 11...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad. Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote...
11 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo...
1 Reactions
1 Replies
951 Views
JEAN BEDEL BOKASSA To the French who’d once ruled the Central African Republic, Colonel Jean Bedel Bokassa must at first have seemed a good bet. For it was soon clear, after he seized power in...
3 Reactions
0 Replies
603 Views
INaMurtadha Ridhwanifar, msomi wa masuala ya utamaduni nchini Iran amefanya safari Afrika Mashariki kufanya utafiti Msomi hiyo ni mjumbe wa Kituo cha Utafiti cha Shrika la Utamaduni na Utalii la...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Kwake Nkrumah offered a two acre plot for all Back Americans who wanted to settle in Ghana.
2 Reactions
2 Replies
821 Views
Salim Msoma kwangu alikuwa kaka, rafiki na pia mwalimu wangu lau kama hili la mwisho naamini hakulijua. Mimi na yeye tulikuwa tukiandikiana faragha na tukisomana sana katika makala zetu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
WanaJF, Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa! Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu...
82 Reactions
146 Replies
31K Views
The story of Salim bin Khalfan, Liwali of Mombasa (1884 - 1912) In the picture, he is seated at the centre. it's important to note that the Omanis ruled Mombasa from 1698 and had their...
1 Reactions
0 Replies
925 Views
AHMAD RASHAD ALLY OFISINI KWA JOMO KENYATTA NAIROBI 1963 Nimeeleza kuwa Ahmad Rashad alikuwapo siku Abdul Sykes alipokutana na Jomo Kenyatta Nairobi 1950. Mzee Ahmad Rashad ana historia ndefu na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…