KUTOKA DHUHR HADI ALASIRI NA MASUDI ''MTU SPECIAL'' KIPANYA
Leo ilikuwa siku makhsusi yaani special sana kwangu kwa kuwa katika chumba kimoja na Masudi Kipanya na vijana wake ''sharp'' wa Clouds...
NYERERE DAY: TUMKUMBUKE BI. TITI MOHAMED NA JUHUDI ZA KUMTOA JOMO KENYATTA KIFUNGONI KAPENGURIA
Msukumo mkubwa wakati nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza...
THE CHANZO: KIPINDI MAALUM MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA
Mtangazaji Khalifa Said si Mtangazaji ambae ningependa arudi tena kunihoji.
Kijana mdogo Khalifa ni sawa na bondia anaevurumisha ngumi...
TUJIKUMBUSHE ILI TUJUE NA TUSISAHAU
KUTOKA MAKTABA: MKUTANO WA SIRI KATI YA ABDUL SYKES NA JOMO KENYATTA NAIROBI 1950
Siku moja katika mazungumzo na Ahmed Rashad Ali akanambia kuwa mwaka wa 1950...
NDANI YA NYARAKA KATIKA SEFU YA ALLY SYKES KUTANA NA MAKACHERO WA DAR ES SALAAM NA MAKACHERO WA SALISBURY
Naamini msomaji wangu umeniona na kunisikia nikiwazungumza wala wazalendo saba waliolala...
Neno "gaidi", lilitumika kwa mara ya kwanza mnamo 1794 na mwanafalsafa Mfaransa François-Noël Babeuf, ambaye anaushutumu utawala wa Jacobin wa Maximilien Robespierre kama udikteta.
Kabla ya...
Vimbwanga duniani vipo kama sisi tunaotaka kuwafahamu wasio julikana.
Kwa huyu bwana zodiac killer ni moja ya watu waliotamba miaka 60 na wengine kama jack ripper na watu waliofanya vitendo viovu...
NYERERE DAY KUTOKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO 1953 HADI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE 1985
Julius Kambarage Nyerere aliunyanyua mguu wake kuanza safari ya uongozi wa Tanganyika tarehe 17 April 1953 katika...
This is Charles & Willa Bruce. In 1912 they bought prime beachfront land in Manhattan Beach, LA County and built a Black resort community.
In 1924 the county took it and refused to pay its...
WAZALENDO SABA WALIOLALA KIMYA KWA MUDA MREFU NDANI YA SEFU YA ALLY SYKES
Hukaa kimya fikra zangu ghafla zikagutushwa na kitu nikakigeuza ndani ya kichwa changu kisha nikajiuliza ilikuwaje, nani...
NYERERE DAY BABA KABWELA UNO 1955
Mwisho wa kipindi cha Aridhio TBC 1 kuanzia leo hadi Nyerere Day yenyewe wataweka kipindi kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Mtangazaji Safina Yasin.
Leonardo Da Vinci
Vinci alizaliwa Toscana, Italia, 15 Aprili 1452 na alifariki Amboise, Ufaransa, 2 Mei 1519) alikuwa mtu mwenye vipaji vingi kutoka nchini Italia.
Kifupi, alikuwa mwanahisabati...
ADOLPHE SAX
Adolphe Sax invented the musical instrument that bears his name - the saxophone - but his childhood was one that included accident after horrific accident.
Born Antoine-Joseph Sax in...
30 September 2021
Nairobi, Kenya
Raila Odinga: KANU iliundiwa katika uwanja wa Kirigiti, Kiambu mwaka wa 1960
Raila Amolo Odinga akisimulia historia ya waasisi wa chama cha KANU na vyama Vingine...
HAMU MPYA YA KUMFAHAMU ABDUL SYKES NA HISTORIA YA TANU
Kumekuwa na mwamko mpya wa kushangaza kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Juma lililopita tukielekea Nyerere Day nimekuwa...