Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?''
Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na palepale mwalimu wangu ataniangusha...
Rafiki yangu Salum Matimbwa ametukumbusha baba yetu Mzee Kitwana Selemani Kondo. Kanirudisha nyuma mbali sana.
Namkumbuka Kitwana Kondo na Peugeot yake 404 rangi ya kijani ameiegesha pembeni...
Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilikuwa vita iliyopigwa
kuanzia mwaka 1914 hadi 1918 . Mataifa wapiganaji
yalikuwa Ujerumani, Austria-Hungaria , Bulgaria na
Uturuki (ziliitwa "Mataifa ya Kati", ing...
MAZUNGUMZO NA MAUREEN MINANAGO WA TBC KITABU CHA JUDITH LISTOWEL ''THE MAKING OF TANGANYIKA'' (1965)
Kesho Jumatatu Insha Allah saa tatu na nusu asubuhi Maureen Minanago katika kipindi, ''Kurasa...
PICHA KUTOKA GAZETI LA MAMBO LEO LA MWAKA WA 1934 WATAZAME MANGI WALIOPAMBANA NA RAJABU KIRAMA - MANGI NGILISHO NA SHANGALI
Katika kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama Mangi wa Kibosho Ngilisho Sina...
NATAMANI KUFUKUWA MAKABURI - part X
Maalim Salim Kombo Saleh (ZPPP) Mbunge wa Jimbo la Tumbe, Pemba katika serikali ya uhuru alikuwa waziri wa sheria na mambo ya ndani wa Zanzibar.
Mwaka 1994...
Kaole, mji wa zamani wa Bagamoyo una mambo mengi ya kustaajabisha ikiwemo kisima cha ajabu chenye miaka zaidi ya 800.
Uajabu wa kisima hicho ni kuwa maji yake hayapungui bila kujalisha kipindi...
BURIANI SHEIKH AHMED HAIDAR
Sheikh Ahmed Haidar...
Mtoto wa Sheikh Haidar Mwinyimvua mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya TANU.
Sheikh Ahmed Haidar mtu mwenye...
''WAMATUMBI WANAVAA KANIKI TU''
Jana rafiki yangu Abdallah Said Hancha katika shughuli zake za utafiti kaniletea picha iliyokuwa na ''caption'' - ''Wakubwa wa Moshi'' iliyokuwa katika gazeti la...
Heshima mbele waikuu hapa JF. Tangu nikiwa mdogo na mpaka sasa nimemaliza miaka 3 sasa nasikia baadhi ya watu wakisimulia habari kuhusu mtu mmoja aitwaye Otango Osale, tafadhali wakuu mwenye...
Kijana mwenye umri wa miaka kumi aliketi ametulia akisikiliza kwa makini hotuba yake ya kwanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Mhubiri alieleza kuhusu mfanyakazi wa Posta ambaye alipokea...
KUKUTANA KWANGU NA "DEEP THROAT" WA MADINA, HANDENI 2014
Angalia hiyo picha hapo chini.
Picha hii nimeipiga miaka saba iliyopita siku kama ya leo.
Picha imeanza kwenye ndevu kuja chini hakuna...
Haya ndio yale tunayosema "utumwa maomboleo" angalia tulijifunza kuwa kilimo cha chai kipo Sri Lanka lakin ukienda pale mufindi iringa unakuta wahehe,wabena,wakinga wanalima chai,tukasoma kuwa...
Hashil Seif ameifanyia hisani kubwa sana historia ya Zanzibar kwa kueleza uongozi wa Abdulrahmani Babu katika kupigania uhuru wa Zanzibar na katika kuweka msingi wa mapinduzi.
Hashil Seif anasema...
MLIMA KILIMANJARO KAMA ULIVYOSANIFIWA KATIKA KITABU ''RAJABU IBRAHIM KIRAMA JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM''
''Mlima Kilimanjaro unaonekana muda wote; ikiwa hakuna mawingu; tokea Moshi...
Baba alilipuka kwa hasira wakati kijana wake mwenye umri wa miaka 16 Vinchenzo Mazza aliporejea nyumbani kwao katika kisiwa cha Sicilia na kutangaza kuwa ameshabatizwa na kujiunga na kanisa la...
Nchini Slovakia wapo wenyeji wenye asili ya India wapatao 2,000 (wajulikanao kama Roma) ambao hujitambua rasmi kuwa wao ni Wakristo japo hawahudhurii kanisani; wala hakuna hata mmoja wao ambaye...