[5:21 PM, 1/9/2017] +255 687 500 699: Home
Monday, 9 January 2017
Waislam wa Burundi katika harakati za kupigania uhuru wa Burundi
Si kwamba Waswahili wa Burundi zama za ukoloni...
Ni kama vile fumbo la imani, kwa wale waamini wa kristu wataungana na mimi kuwa habari za Mungu na uumbwaji wa dunia zilikuja kuandikwa na Musa, na Musa aliziandika kama vile aliziishi ijapokuwa...
SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE: SHUJAA WA KURA TATU NA UAMUZI WA BUSARA WA TABORA
Rai Juni 17-23 1999
KIFO cha Abdallah Rashid Sembe kilitokea Hospitali ya Bombo, Tanga tarehe 22 Mei, 1999. Siku...
MUNGU ANAPOTAKA KUKUSAIDIA, ATAKULETEA MSAADA AMBAO HAUKUUTARAJIA KABISA
hili tukio lilitokea June 2005, huko ETHIOPIA lakini nimeshangazwa kuwa very popular hivi karibuni.
"Binti wa miaka...
Habari,
Hii video imechukuliwa wakati Mwl Nyerere alipoenda Zambia na kukutana na rais wa wakati huo CHILUBA, ambaye alikuwa kamfunga Kaunda, Mwalimu Nyerere akaomba dakika 40 za mazungumzo na...
Mwanahistoria
Tunaomba utuleteee Historia ya Mzee Ali Hassan Mwinyi tafadhali na sio haya mambo ambayo yamekuwa diluted tunayopewa na magazeti
alikozaliwa career yake familia yake ilikuwaje...
Anaitwa Hadija Bint Kamba, Bint mrefu mweusi mwenye umbo lililosadifu unyamwezi, asili yake ni Tabora ndipo alipotokea Baba yake na Kigoma ndipo wazazi wa Mama yake walipotokea.
Ni kama ilivyo...
Sheikh Ali bin Saleh
Picha kwa hisani ya Hamzah Rijal
Utangulizi
Hamzah Zubeir baada ya kusoma post. ''Liwali Ahmed Saleh na Sheikh Said Chaurembo,'' ameniandikia kufanya masahihisho kuhusu...
Habarini wanajf, katika pitapita zangu huku kanda ya ziwa( Mwanza) nikakutana na kabila la wakara, ambao nasikia kuwa ni watata sana ktk mila yaani wanafuga mamba na ukiwazingua tu hunywi maji...
Chifu Mkwawa asingejiua bila kusalitiwa. Kama si usaliti wa mtu aliyemwamini, Wajerumani wasingemuweza Mkwawa. Historia nyingi zinaandikwa uongo ili Wazungu waonekane mashujaa wa vita, ila ukweli...
Utangulizi
Rafiki yangu Abubakar Shani kaweka katika group letu ''Kumbukumbu,'' kipande cha gazeti la Mwangaza la Oktoba 5, 1956 ikimuonyesha Liwali wa Dar es Salaam wa wakati ule Ahmed Saleh...
Leo katika pitapita zangu, nikajikuta namkumbuka marehemu Mzee Laurent Desire Kabila.
Mzee aliuwawa katika miaka ya 2000.
Swali langu ni nani alimuua??
Pia mwenye kujua elimu na historia ya...
ZUBERI MTEMVU: MPANGAJI MIKAKATI WA TANU NA MUASISI WA UPINZANI
Rai Oktoba 28 - Novemba 3, 1990
=======
Alhaj Zuberi Mwinshehe Manga Mtemvu
Mpangaji mikakati wa TANU, mhamasishaji wa umma...
Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo.
Wachagga ni...
Hizi ni simulizi za marehemu babu yangu (Mkiwa), ambae alishirikiana sana na mangi (Yohana) baba yake kama sio babu yake Justin Salakana, zamani hizo robo tatu ya Rombo yaani kutoka mto Ugwasi...
Naanza kwa kusema kuwa X-mass ya mwaka huu n y kukaa hme na familia. Tangu niwe na akili y kufahamu sikukuu ya mwaka huu cjawah kuiona aisee je ww una maoni gani
Habarini wakuu ningependa kujua sababu za ujenzi na upanuzi wa makazi ya wayahudi ambao kwa muda mrefu sasa umekua ukiendelea kama una majibu tafadhali naomba unielimishe nielewe.