Mama Frolence Nightingale RIP amekuwa alama muhimu ya uuguzi duniani kutokana na yale aliyoyafanya kwenye hiyo sekta
Tunapoadhimisha siku hii muhimu duniani je Tanzania tuna wauguzi kaliba ya...
Sheikh Ibrahim,
Salim Msoma hajaelezea mambo yalivyokuwa kisawasawa.
Kundi la vijana waliopata mafunzo Misri haikuwa makusudio ya Misri wala ya viongozi wa Hizbu kumuondoa mfalme.
Makusudio...
BABA WA TAIFA ALIPOZUNGUMZA UNO KWA MARA YA KWANZA 1955 KUDAI UHURU WA TANGANYIKA
MIAKA 61 IMEPITA...
TUWAKUMBUKE WAZALENDO WALIOFANIKISHA HAYA
Miaka 61 Tangu Nyerere Kwenda UNO New York Kudai...
Vita hivi vilipiganwa mwaka 1896 kati ya Utawala wa kifalme wa visiwa vya Uengereza na Utawala wa kifame wa visiwa vya Zanzibar.
Sababu kuu ya vita hivi ni mgogoro wa madaraka uliotokea Zanzibar...
Wana JF, habari ambazo zimeondolewa zuio la usiri (chini) toka kwenye makabrasha ya FBI zinaonyesha Taasisi hii kwa muda mrefu baada ya kumalizika vita ilighubikwa na haja ya kuelewa aliko Adolf...
Huyu ndiyo Konrad Zuse (*1910 - 1995 †) ndiye aliyegundua Computer kama tuijuavyo leo hii!
Computer yake aliita Z3 ambayo ndiyo mwanzilishi wa Computer hapa Duniani, ingawaje kuna wengi...
Kubadilisha masomo ya taarikh iliyopotoshwa sana si kazi nyepesi kwani kuna wachache wenye nguvu ambao wanaing'ang'ania na kuilinda kwa nguvu zao, na za wakoloni wa leo wakiwa nyuma yao, kuwalinda...
Utangulizi
Masultani 11 waliotawala Zanzibar 1856 - 1964
Hawa masultani 11 waliotawala Zanzibar kuanzia mwaka wa 1856 hadi 1964 kesho kiama siku ya hesabu watamkabili Mola wao mikono yao ikiwa...
MAR
15
Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipopokea fuvu la babu yake Mtwa Mkwawa
Kalenga
''Maisha ya Chifu Adam Sapi Mkwawa yalitokea katika Baragumu Aprili 12, 1956. Alisoma Tabora na Makerere...
Wamasai, watu wanaovutia na wanaofuga wanyama, wanaishi katika pori la Bonde Kuu la Ufa nchini Kenya na Tanzania huku Afrika Mashariki. Wao bado huishi kama vile mababu wao wa kale walivyoishi...
Hebu vuta picha! Mawaziri kibao kutoka nchi mbalimbali duniani pamoja na wadau wengine, wakiwa wamevalia suti zao na tai, wapo kwenye mkutano muhimu wakijadiliana kuhusu mambo muhimu ya...
Kitabu hicho hapo juu ni Kumbukumbu za Ali Muhsin Barwani mmoja wa wapigania uhuru wa Zanzibar na kiongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP) Hizbu.
Akiwa mmoja wa mawaziri wa serikali ya...
Chukulia mfano, ni Jumapili wewe na familia yako mpo kanisani, mara mchungaji wenu mnayempenda na kumuamini anaanza kuwahubiria kwamba maisha ya hapa duniani hayafai kabisa kwa sababu dhambi...
SHIMIWI ni mashindano ya michezo ambayo hujumuisha Wafanyakazi wa Serikali Kuu,Idara na Mashirika mbalimbali ya Umma,mashindano haya hujumuisha michezo mingi kama mpira wa miguu,wa pete,mchezo wa...
Mwirobareee! Naaaaaaaaaaam! Kuanzia miaka hiyo ya RFA na radio One. Top Manyota, Top Manyota, Mwirobareee na wengine waliweza kuleta furaha maishani mwangu pamoja na wasanii wazuri wa Bongo fleva...
Nilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza...
WARENO 1500 1800Ukiristo uliletwa kwa mara ya mwanzo Zanzibar na Wareno. Wareno wakielekea juu kutoka kusini baada ya kufanikiwa kuizunguka Rasi ya matumaini mema Cape of Good Hope katika...
SEHEMU YA KWANZA: KUTOKA UWANJA WA VITA – TEHRAN 1985
Mwezi Machi 1985, Tehran ulikuwa ni uwanja wa vita. Makombora ya Iraq yalikuwa yakidondoshwa kila usiku na kuwaweka wakazi wa jiji hilo...