Leo katika Kijiji cha Katendagulo, Kata ya Bugandika, Tarafa ya Kiziba, Wilaya ya Missenye, Mkoa wa Kagera kulikuwa na Sherehe ya Kuzaliwa ya Mzee Leopold Rwizandekwe II. Kumbuka huyu Mzee, Mwl...
Kama kawaida yangu huwa nataka kujua yaliyoendelea Miaka ya Nyuma hasa kutoka kwa watu waliopigania nchi hii na kudai uhuru
Simon Rwamugila Kwa koo za Kihaya ana jina la Omutware yaan mtu au...
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na...
Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro.
Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana...
SHEIKH ALHAD OMAR MWALIMU WA QUR'AN ALIYEWAFUATA WANAFUNZI BADALA YA WANAFUNZI KUMFUATA MWALIMU
Jana asubuhi na mapema hata hapaja pambazuka vyema Tawfik Kazaliwa mmoja wa vijana wa marehemu...
UNANYIMWA MAJI KISHA UNALAUMIWA KWA UCHAFU WA KUTOKUOGA
Vita Vya Pili Vya Dunia Manazi wa Kijerumani waliwakusanya Wayahudi katika Ghetto Poland hawana maji wala vyoo.
Kisha wakawa wanawalaumu...
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama Kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la...
MWENGE WA UHURU NA KITABU CHA WATOTO CHA MWENGE WA UHURU ("THE TORCH ON KILIMANJARO")
Mwaka wa 2007 Oxford University Press (OUP), Nairobi walianzisha mradi wa kusomesha Kiingereza na historia...
Kanisa la shetani ni moja wapo ya kanisa ambalo ili rasmishwa mnamo mwaka 1966 na mwanzilishi mwanamuziki, mwandishi wa vitabu, mwanasaikolojia, anaitwa anton szandor lavey alizaliwa mnamo mwaka...
Abdul Italo amefariki na kazikwa leo Makaburi ya Mwinyimkuu.
Upi umuhimu wa Abdul Italo?
Angalia video:
TAAZIA ILIYOCHELEWA: DR. EDITH KITAMBI
Nimesoma kuhusu kifo cha Dr. Edith Kitambi leo...
Leo Maktaba imetembelewa na Hamisi Delgado rafiki yangu toka ujana wetu.
Yeye si mgeni hapa Maktaba ingawa kaondoka hapa nyumbani miaka mingi sana.
Lakini akija sharti aje kunikagua.
Leo katika...
Ni nani huyu hapo chini?
Ikiwa unamfahamu tafadhali nitajie jina lake.
Hakuna leo anaemjua Iddi Tulio.
Picha ya Mzee Iddi Tulio nimeitafuta kwa miaka mingi na nikakata tamaa ya kuipata...
Habari zenu wnanajamiii. Nimekuwa nikifikiri sana hivi kwanini dini zote zinatumia hofu kuhakisha uwepo wake?
Yaani ni hivi watu wanao amini kuwa Mungu yupo hawafanyi hivyo kwasababu wanapenda...
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha...
Fahamu kuhusu Vita ya Majimaji ya mwaka 1905, iliyoongozwa na Wangoni dhidi ya ukoloni wa Kijerumani kutokana na kodi kubwa, adhabu kali, na kazi za kulazimishwa, inaadhimishwa kupitia makumbusho...
Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia.
1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British...
Toka kuanzishwa kwake mwaka 1947 kampuni ya usafiri wa mabasi jijini Dar es Salaam Motors Transport (DMT) chini ya udhibiti wa British Holding Cooperation United, iliendesha shughuli zake kama...
Dunia ina mambo na vijimambo
Katika miaka ya 1880+ pale nchini Afrika-Kusini alikwepo bwana mmoja maarufu kwa jina la "Jumper" akihudumu kwenye kampuni ya Reli akiwa kama "SingnalMan".Bwana...
Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake.
Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:-...