Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake. Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:-...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini: "Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari wana JF, Ni dhahiri kuwa kila jamii ina upekee wake katika mila, desturi, utamaduni pamoja na aina ya maisha inayoitofautisha na jamii nyingine. Kuna baadhi ya maneno na mashapisho...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
🛑 Mwaka 1991, nabii huyu wa Nigeria kwa jina la Daniel Ebodunrin alivutiwa na hadithi ya Daniel katika Bibilia na aliamua kuunda historia kwa mara nyingine tena. Aliingia kwenye ngome katika...
1 Reactions
6 Replies
443 Views
SAID TEWA MTOTO WA TEWA SAID TEWA MUASISI WA TANU ATEMBELEA MAKTABA Leo ndugu yangu Said Tewa mtoto wa mmoja wa wazalendo 17 walioasisi TANU kanitembelea. Said tumekuwa pamoja Dar-es-Salaam...
5 Reactions
0 Replies
341 Views
Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion." Walioandika historia hii waliwaona Abushiri...
7 Reactions
19 Replies
913 Views
ISMAIL ALI MLAPAKORO AMEFARIKI DUNIA Familia iliyotoa mchango mkubwa kwa Uhuru wa Tanganyika, Elimu na soka la Tanzania Na. Mohammed Said Ndugu zetu wa Morogoro wamepata msiba mkubwa kwa kifo...
6 Reactions
8 Replies
636 Views
PROF. SHIVJI AMWELEZA MWALIMU NYERERE Ilikuwa siku ya uzinduzi wa nyumba ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere baada ya kufanyiwa ukarabati. Baada ya uzinduzi wadau wa historia ya Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
MWINYIMBEGU DIBIBI- MZALENDO WA KIAFRIKA ALIYESAHAULIKA Ahmed Dibibi Si wengi wenye kulifahamu jina hili na wengine yawezekana ikawa mara ya mwanzo kulisikia. Mwinyimbegu Dibibi kwa watu wa...
2 Reactions
0 Replies
305 Views
JE WATU WA ZAMANI WALIISHI KWA IMANI ZIPI? katika historia inasemakana kwamba mababu na mabibi zetu waliishi kwa Imani zao hapa nikimaanisha kwamba Mila na desturi Kuenzi watu walio kufa mda...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
"A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na...
7 Reactions
9 Replies
727 Views
Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila. Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa. Nami nimejitahidi kuliangalia...
0 Reactions
8 Replies
676 Views
Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie...
9 Reactions
54 Replies
17K Views
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5. ====== The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
HISTORIA YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM Abushiri bin Salim alikamatwa sehemu za Handeni baada ya kusalitiwa akiwa anafanya mipango ya kutorekea Mombasa akiwakimbia Wajerumani. Vita vyake vya...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Huyu E. Kezihalabi ni nani? Euphrase Kezilahabi alizaliwa 13 Aprili 1944 huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya Ziwa Viktoria. Babake Vincent Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na...
70 Reactions
193 Replies
49K Views
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA IDDI TULIO Nimeona kuna mkanganyiko wa nani ni nani kati ya wenyeviti hawa wawili wa Baraza la Wazee wa TANU. Kushoto ni Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti Baraza la...
2 Reactions
0 Replies
253 Views
KHALIMA BINT KHAMISI MMOJA WA WANAWAKE MSTARI WA MBELE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 Kumbukumbu za wazalendo mfano wa Bi. Halima bint Khamis hazipo popote hata ukienda ofisi ya CCM...
1 Reactions
9 Replies
529 Views
binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na...
5 Reactions
17 Replies
417 Views
1. Amina of Zaria, Nigeria🇳🇬 2. Yaa Asantewaa, Ghana🇬🇭 3. Queen Amanirenas (Kush Kingdom) 4. Makeda, Queen of Sheba, Ethiopia 🇪🇹 5. Queen Kandake, Ethiopia🇪🇹 6. Queen Nefertiti, Egypt 🇪🇬 7...
2 Reactions
5 Replies
434 Views
Back
Top Bottom