Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa...
Habari Jf nataka kuwajua kama madailivyo kuhusu adamu na hawa ahsant twende na mimi pamoja
ADAM NA HAWA WALIKUWA WEUSI AU WEUPE?
Kujibu swali hili na kwa kutaka kujua au kuthibitisha uvumi...
Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi
Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada...
Heshima kwenu Mabibi na Mabwana, Poleni na heka heka za maisha
Km kichwa cha habari kinavyosomeka, Imbangulu ni Nabii mtenda miujiza km ilivyokuwa kwa manabii wengine enzi hizo, inasemekana katk...
Jaggi Vasudev (Sadhguru) ni mwalimu wa yoga, mtunzi wa vitabu na public speaker huko nchini India.
Mtu huyu mwenye busara na kipawa kikubwa cha utulivu alichopewa na Mungu Mwenyezi anatufundisha...
…Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981.
Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979.
Ndani ya miaka...
Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake.
Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus.
Amin.
https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
HISTORIA YA HERMANN VON WISSMANN KATIKA VITABU VYANGU VIWILI
Tuanze na sanamu ya Hermann von Wissmann.
Picha na maelezo hayo hapo chini nimeyatoa mahali katika mtandao na nimefanya uhariri...
MTAA WA JOHN RUPIA TANGA
Moja ya vibao vingi vya Mtaa wa John Rupia kipo pembeni ya Msikiti Ngazija, Tanga.
Nimefikia hoteli jirani na kwa hakika ni mkabala na msikiti huu na ndiyo nikabahatika...
Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda.
#Sehemu #ya - 1
Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda...
Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE"
Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi...
UFALME WA KONGO: "WENE WA KONGO, FALME PEKEE AFRIKA ILIYOKUWA YA KWANZA KUWA NA DEMOKRASIA NA DIPLOMASIA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Thursday- 9/06/2022
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania...
Historia ya uhuru wa Tanganyika imetawaliwa na dua zilizokuwa zikifanywa kuomba salama na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Mtu wa kwanza kulieleza hili alikuwa Mwalimu Nyerere Ukumbi wa Diamond...
Katika mwaka wa elfu moja mia tisa sabini na nne, Tanzania, hasa Mkoa wa Kagera, ulipitia kipindi cha kiza kikuu. Jua liliwaka lakini hali ya njaa ilitanda kama kivuli kilichofunika furaha ya...
Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii...
Katika karne ya 13, katika ardhi yenye rutuba ya Afrika Magharibi, kulikuwa na ufalme mdogo uitwao Kangaba. Ufalme huu ulikuwa chini ya utawala wa mfalme mwenye hekima na upendo, Maghan Kon Fatta...
Katika karne ya 13, katika ardhi yenye rutuba ya Afrika Magharibi, kulikuwa na ufalme mdogo uitwao Kangaba. Ufalme huu ulikuwa chini ya utawala wa mfalme mwenye hekima na upendo, Maghan Kon Fatta...
Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu.
2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya...
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN
Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995.
Niko Tanga.
Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.