KATIKATI YA KIPINDI TANESCO WANAZIMA
Mahojiano yamepamba moto camera zina "roll," mara paa umeme umekatika.
Kiza totorooo...
Jicho la camera kama jicho la binadamu halioni kwenye kiza.
Mfikirie...
RAJABU IBRAHIM KIRAMA SEHEMU YA PILI
Baada ya kupata msingi huu wa simulizi kazi yangu sasa ikawa kuingia katika historia ya Wachagga ambayo karibu yote imeandikwa na Wazungu na hapo kutazama...
MATAYARISHO YA KIPINDI MAKTABA NA FLOURANCE MAVIMBI TBC1
TBC1 wanatayarisha kipindi kuhusu majina ya mitaa waliyopewa viongozi wa Afrika katika jiji la Dar-es-Salaam mfano wa Kwame Nkrumah...
TAAZIA: DR. TAMIM KUTOKA KALAMU YA DR. DAU GAZETI LA RAIA MWEMA
Tarehe 17 Mei 2024 Saa 1 asubuhi nimepokea simu kutoka kwa mwanangu Ahmed Dau. Wakati huo nilikuwa nipo safarini nchini Uturuki...
Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo mitaa ya Samora na Azikiwe (zamani: Maktaba) zinakutana. Sanamu inamwonesha...
Alitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko...
Kutokana na kukua kwa teknolojia na Kusahaulika kwa Tamaduni zetu hasa kwa asilimia kubwa sisi Watanzania. Hii imetokana na imani zetu na dini zetu kulazimisha majiana ya tamaduni za wamissionari...
IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s
"Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":
"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid...
Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba.
Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa...
Ukishasikiliza mazungumzo ya Mwalimu Nyerere katika hiyo video hapo juu sasa soma Hotuba yake aliyotoa Bungeni tarehe 10 Desemba, wakati Tanganyika inakua jamuhuri mwaka wa 1962.
Hotuba ya...
Habari wana wanahistoria.
Katika pitapita zangu nimepata kusikia kabila hili dogo linaloitwa WAZIRANKENDE hasa nimewasikia saana maeneo ya mkoa wa Kigoma na Kagera.
Kama kuna mtu anajua chochote...
Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba...
DR. BUSHIRI TAMIM PICHA MBELE YA DAILY NEWS YUKO KAZINI MADAKTARI WENZAKE WAKO KATIKA MGOMO
Nilikuwa nimefadhaika sana kwa kukosa picha ya Daily News ikimuonyesha Dr. Tamim akiwa kazini wakati...
Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa.
Songa nami.
Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957)
Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975)...
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA
Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba.
Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala.
Tabu iliyonifika ni...
Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi.
KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945:
Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi...
Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu...
Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana.
Hivyo basi...
ALFU LELA ULELA, WILLIAM SHAKESPEARE NA IRVING WALLACE WANAPOJUMIKA PAMOJA KATIKA KITABU CHA TUNE SHAABAN SALIM ‘’POSA ZA MAANA’’
Juzi niliandika na kusema kuwa kitabu hiki kina mwendo mkali...
AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI
Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki."...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.