Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

"Mpaka kufika Jumatatu nitakuwa nimemshtaki Mahakamani ndugu Albert Chalamila kwa kosa la kuhamasisha mauaji (Extra-Judicial Killings). Jinai huwa haina cheo." - Peter Madeleka Pia soma...
2 Reactions
8 Replies
374 Views
Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Nimeona clip moja ya Sheikh mwanaharakati, Dr Sulle akisema watu wengi hawajui au wanapotosha hayati Rais Mwinyi kuitwa Mzee Ruksa. Akitoa historia fupi Dr Sulle anasema mwaka 1993 kulitokea...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na...
3 Reactions
4 Replies
482 Views
HADITHI YA ALI WAWILI: ALI HASSAN MWINYI NA ALLY KLEIST SYKES Majina yao yamefanana mtu na somo yake ila kila mmoja analiandika jina lake vingine. Mimi na Hamza Aziz tulikuwa na Majlis yetu nje...
1 Reactions
3 Replies
722 Views
Shirika la Afya Duniani WHO limeipendekeza Tanzania sanjali na Nchi zingine kuwa miongoni mwa Nchi ambazo zimepewa nafasi ya kuweka mgombea ambae anaweza kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO Kanda...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
HARRY BELAFONTE, MIRIAM MAKEBA, SIDNEY POITIER AND SAL DAVIS KENYA INDEPENDENCE CELEBRATIONS 1963 Nakuwekeni kipande hiki kama kumbukumbu ya Harry Belafonte kama nilivyoelezwa na Sal Davis...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mpangilio wa vitu vyandani ndo mwonekano wa wayaringi iliyo fungungwa katika nyumba yako.kuna wateja wanapenda kubadirika kutokana na wameona nini Kwa rafiki yake wakati wayaringi yake hairuhusu...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
THE NYERERE YEARS Nakifahamu kitabu hiki kuhusu marafiki wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. In Shaa Allah nitajaribu kuandika niyajuayo kutokana na majina ya hawa ambao ni rafiki zake na ndiyo...
1 Reactions
7 Replies
566 Views
JINA LA MTONI KWA AZIZ ALI LIMETOKEA WAPI!? Wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam, kuna eneo linaitwa Mtoni. Mtoni yenyewe nayo ina mitaa mingi ikiwamo Mtoni Kijichi, Mtoni Mtongani, Mtoni kwa...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Leo asubuhi nimeingia Maktaba nikawa napekuapekua katika Memory Lane yaani Mtaa wa Kumbukumbu. Nikakuta video fupi fupi kadhaa. Nikazisikiliza. Nimepigwa na mshangao. Yaliyomo ndani ya video...
1 Reactions
6 Replies
596 Views
Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa ninaposoma Makala ya historia basi huenda kwenye kazi zangu zilizopita na kuangalia nini nimeandika. Ndugu yangu Abdulkarim Ally ameandika makala (haipo hapa)...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya...
3 Reactions
16 Replies
881 Views
KIMBUNGA HIDAYA MAWINGUNI WATOTO WANACHEZA MPIRA WA MAKARATASI PEKUPEKU MTAANI Jioni inakimbilia Maghrib na kama kungekuwa na jua mtu angeweza kuliona limebadilika rangi linaenda kuzama upande wa...
3 Reactions
9 Replies
697 Views
Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Hii ni Scopes Trail (July 10–21, 1925, Dayton, Tennessee, U.S.); Ambapo Mwalimu wa Shule John T. Scopes alikuwa charged kwa ku-violate Sheria ya State ya kufundisha Evolution.... Case yenyewe...
0 Reactions
5 Replies
327 Views
Uzi uko wazi twende kazi
0 Reactions
3 Replies
318 Views
Katika Miaka ya 2000 Raia wengi kutoka Jamhuri ya Dominika walikuwa wanakimbia nchi yao kuelekea katika nchi ya marekani na Puerto Rico kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri. Kwahiyo haikuwa jambo...
1 Reactions
3 Replies
703 Views
Back
Top Bottom