Habari wadau,
Nilipokuwa Tanga, niliona mnara wa saa uliojengwa kipindi cha ukoloni wa Kijerumani (1901) na umekarabatiwa mwaka 2022 na watu watatu;
1. NGO inayoitwa Tanga Development...
Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.
Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.
Hivyo basi...
Wanaume Wengi wa Kabila la Bubal Linalopatikana Somalia Wana Mabusha (Kutuna kwa Korodani). Inaelezwa Kuwa Hali Hio Huwatokea Kutokana na Imani Yao ya Kulamba Damu Mbichi ya Hedhi ya Ng'ombe. Hii...
Wadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati Sokoine kwa vile alipofariki nilikua bado sijazaliwa, nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi...
MSOMI WETU WA KARNE.
Kijiji cha Katoma kipo Mkoani Kagera.Tarehe 28/09/1942 alizaliwa kijana mmoja mtanashati wa mwonekano na kichwani.Huyu ni Justinian Rweyemamu, mmoja wa wasomi hodari kuwahi...
JINA LAKE KAMILI NI JUMBE SHOMARI JAHAZI
Picha hiyo hapo chini ni picha maarufu sana.
Katikati ni Abushiri bin Salim Al Harith, wa kwanza kushoto ni Jahazi na kulia ni Makanda bin Mwinyimkuu...
SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika.
Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale...
UHURU WA ZANZIBAR 1963
Picha hiyo hapo chini ni ya rafiki yangu wa utotoni Mohamed Kitunguu.
Tumekutana juzi na sote tulifurahi kuonana.
Miaka mingi imepita.
Tulijuana sote tukiwa na umri wa...
MUASISI WA TANU TANGA: HAMISI HERI AYEMBA
Tanga iliibuka mwaka 1955 na kukabiliana na serikali ya kikoloni kupitia juhudi binafsi za kikundi cha wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la...
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.
Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina...
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA:
DK BUSHIRI TAMIM NIMJUAYE
Na Alhaji Abdallah Tambaza
ALHAJI Dkt. Bushiri Salum Tamim (74), aliyefariki Ijumaa Mei 18, mwaka huu, kwenye Hospitali ya Taifa, Muhimbili...
HUSSEIN SIYOVELWA ATEMBELEA MAKTABA
Leo Maktaba imetembelewa na Hussein Siyovelwa mtoto wa Peter Said Siyovelwa mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika.
Hussein ameandika miswada miwili ambayo...
Wabanyole, jamii ya kipekee kutoka ufalme wa kale wa Uganda, hawakufanya tu upasuaji wa C-Section bali walikamilisha sanaa hiyo muda mrefu kabla ya Wazungu. Wakati Wazungu walikuwa na lengo kuu la...
Nadhani ushawahi kusikia neno "Pirates". kuna movie moja maarufu inaitwa "pirates of the Caribbean". Pirates ni Maharamia, hiyo movie kwa kiswahili tungeweza kusema "Maharamia wa Caribbean"...
Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya.
Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7...
Baharini kuna mali nyingi sana sema tu inakuwa ngumu sana kuzifikia. Kuna stori ya jamaa mmoja aitwaye Edward Teach ama Blackbeard kama alivyokuwa akijulikana.
Mchizi huyu alizaliwa mwaka 1680 na...
Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha
amani, usalama na ustawi wa Afrika
Ni dhamira ya Tanzania kukuza
amani na usalama barani Afrika ili
kuweka mazingira stahiki ya
kujenga ustawi...
NAWAKUMBUKA SANA
Kwenye picha hapo chini wa kwanza kulia ni Sheikh Abdallah Muhsin, Sheikh Ali Muhsin, Mwandishi na Farouk Abdullah.
Muscat mwaka wa 1999.
Nimeweka kitabu cha kumbukumbu ya...
BURIANI MZEE KITWANA SELEMANI KONDO (1930 - 2017) NA DK. RAMADHANI KITWANA DAU
Mohamed Said May 30, 2017
Kitwana Selemani Kondo katika ujana
BURIANI MZEE KITWANA KONDO
Ramadhani K Dau
Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.