Dola ya Kirumi ilikuwa ni nguvu kubwa ya kisiasa na kijeshi wakati wa siku za mwanzo za Ukristo, pamoja na mji wa Roma kama msingi wake. Kwa hiyo, kuna manufaa ya kupata ufahamu bora wa Wakristo...
Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika.
Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa...
HISTORIA YA KANISA LA AYA SOFIA
Kanisa Lililogeuzwa Kuwa Msikiti Baada ya Kutekwa kwa Mji wa Konstantinopoli
Kanisa la Aya Sofia, lililojengwa wakati wa Ufalme wa Byzantine, lilikuwa ni miongoni...
Hawa ndio wazeee wetu wa Darisalama waliojitolea kiduchu walicho nacho kuchangia kuanzishwa kwa Cguo Kikuu cha Dar es salaam.
Mwaka 1958, Katika Mkutano Mkuu wa Chama, TANU wakati huo, Mwalimu...
ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH AKIZUNGUMZWA KUTOKA ZANZIBAR
Nimeizungumza historia ya Abushiri Pangani nikiwa nimesimama Mtaa wa Uhindini, nikiwa njiani naelekea kwenye kaburi lake...
Friends and Our Enemies,
Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.
1. Alisongea Mbano
2. Abdallah Mchimani...
SAID MAREHAN DAROD BARRE RAISI WA TATU WA SOMALIA NDOTO ZAKE ZA KUIJENGA NCHI YAKE ZILIVYO YEYEKUA NA KUIFANYA TAIFA LA SOMALIA KUWA KAA LA MOTO LISILOTAWALIKA:
Vol. I- SEHEMU YA I [Toleo la...
ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR
Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani.
Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to...
Skukuu ya 7 / 7🙏 kumbukumbu yangu hii ❤️ Mimi na wewe Mzee wangu Saidi Mohamed😎
Mlimani TV hii ni stesheni ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam wameniletea hii clip fupi sana ya kipindi tuliyofanya...
MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1
Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia.
Nimeanza kutazama kitabu kimoja...
Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano.
Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake.
Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za...
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said...
Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa...
Mwanafunzi wa Kihindi akisoma usiku katika Chuo Kikuu cha Madras huko Tamil Nadu, 1905. Wanafunzi hutumia kufunga nywele zao kwenye msumari ukutani ili kujiepusha na kulala wakati wa kusoma usiku...
BAY OF PIGS Vs COLD WAR: MAREKANI, CUBA NA USSR, ULIMWENGU KIGANJANI MWA CIA, CRF NA KGB; NA AIBU YA DUNIA KWENYE ULINGO WA KIJASUSI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu(CMCA)
Wednesday-16/06/2021...
MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO.
Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA...
Wana JF Jukwaa la Historia,
Nimekuwa nikifanya majadiliano hapa sasa huu ni mwaka wa 11.
Nimegundua kuwa kuna wafuatiliaji wengi wa mijadala hii yetu ambayo wanauliza maswali ambayo kwa hakika...
LINGO LA KUNI MTONI KIJICHI
Inaweze kufika zaidi ya miaka 60 nilikuwa sijaona lingo la kuni.
Katika utoto wangu nikikua Dar es Salaam kulikuwa na malingo nengi ya kuni sehemu zikiwekwa kuni...
Pichani ni Nduna Songea Mbano Luwafu. Alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906.
Kifo chake kilitanguliwa na mauaji ya Mashujaa wengine 66 wa Majimaji...
MZEE SUGAL MOHAMED ALIVYOMTOROSHA MWALIMU NYERERE ASIKAMATWE NA MAKACHERO
na Guled Issa
Mzee Sugal Mohamed ni moja ya majina ya mashujaa yanayopaswa kuingia katika historia ya mashujaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.