Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake.
Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:-...
WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA
Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini:
"Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu...
Habari wana JF,
Ni dhahiri kuwa kila jamii ina upekee wake katika mila, desturi, utamaduni pamoja na aina ya maisha inayoitofautisha na jamii nyingine.
Kuna baadhi ya maneno na mashapisho...
🛑 Mwaka 1991, nabii huyu wa Nigeria kwa jina la Daniel Ebodunrin alivutiwa na hadithi ya Daniel katika Bibilia na aliamua kuunda historia kwa mara nyingine tena.
Aliingia kwenye ngome katika...
SAID TEWA MTOTO WA TEWA SAID TEWA MUASISI WA TANU ATEMBELEA MAKTABA
Leo ndugu yangu Said Tewa mtoto wa mmoja wa wazalendo 17 walioasisi TANU kanitembelea.
Said tumekuwa pamoja Dar-es-Salaam...
Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion."
Walioandika historia hii waliwaona Abushiri...
ISMAIL ALI MLAPAKORO AMEFARIKI DUNIA
Familia iliyotoa mchango mkubwa kwa Uhuru wa Tanganyika, Elimu na soka la Tanzania
Na. Mohammed Said
Ndugu zetu wa Morogoro wamepata msiba mkubwa kwa kifo...
PROF. SHIVJI AMWELEZA MWALIMU NYERERE
Ilikuwa siku ya uzinduzi wa nyumba ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere baada ya kufanyiwa ukarabati.
Baada ya uzinduzi wadau wa historia ya Mwalimu Nyerere...
MWINYIMBEGU DIBIBI- MZALENDO WA KIAFRIKA ALIYESAHAULIKA
Ahmed Dibibi
Si wengi wenye kulifahamu jina hili na wengine yawezekana ikawa mara ya mwanzo kulisikia.
Mwinyimbegu Dibibi kwa watu wa...
JE WATU WA ZAMANI WALIISHI KWA IMANI ZIPI?
katika historia inasemakana kwamba mababu na mabibi zetu waliishi kwa Imani zao hapa nikimaanisha kwamba Mila na desturi
Kuenzi watu walio kufa mda...
"A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU
Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na...
Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila.
Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa.
Nami nimejitahidi kuliangalia...
Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie...
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
======
The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is...
HISTORIA YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM
Abushiri bin Salim alikamatwa sehemu za Handeni baada ya kusalitiwa akiwa anafanya mipango ya kutorekea Mombasa akiwakimbia Wajerumani.
Vita vyake vya...
Huyu E. Kezihalabi ni nani?
Euphrase Kezilahabi alizaliwa 13 Aprili 1944 huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya Ziwa Viktoria. Babake Vincent Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na...
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA IDDI TULIO
Nimeona kuna mkanganyiko wa nani ni nani kati ya wenyeviti hawa wawili wa Baraza la Wazee wa TANU.
Kushoto ni Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti Baraza la...
KHALIMA BINT KHAMISI MMOJA WA WANAWAKE MSTARI WA MBELE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954
Kumbukumbu za wazalendo mfano wa Bi. Halima bint Khamis hazipo popote hata ukienda ofisi ya CCM...
binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na...