Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani...
2 Reactions
6 Replies
515 Views
Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza. RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS Observation of the holy month of...
1 Reactions
13 Replies
639 Views
MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa...
1 Reactions
1 Replies
495 Views
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya zote zilizopo ndani ya mkoa wa Katavi wameeleza mafanikio yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
405 Views
Anaejua historia kamili ya Otabenga atiririke hapa
1 Reactions
3 Replies
473 Views
Mfahamu Sokoine Moringe Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984). Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Historia ya Tanganyika imemficha mwanamama huyu ambaye alipingana na viongozi wa Tanu wakiongozwa na Mwalimu Nyerere na wazo la UN kuwa Tanganyika ipewe Uhuru mwaka 1971 na kushinikiza uhuru wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa...
11 Reactions
129 Replies
4K Views
Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue.
30 Reactions
86 Replies
3K Views
Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na...
2 Reactions
1 Replies
609 Views
NDUGU WAWILI KATIKA HISTORIA YA TANU: STEVEN MHANDO NA PETER MHANDO Imenichukua muda mrefu sana kuitafuta na kupata picha ya Steven Mhando na mdogo wake Peter. Niliipata picha ya Peter Mhando na...
2 Reactions
2 Replies
765 Views
Utangulizi Kuna wako wanaomtazama Dr. Dau kama ''Lecturer'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. Kuna wengine wanamtazama Dr. Dau kama Mkurugenzi wa Masoko Tanzania Ports Authority (TPA) na wengine...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
https://youtu.be/JGzC8AhERU8?si=Jen_Ou1-W6qGL51S
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Mwandishi William L. Shirer amefanya kazi ya kutukuka sana katika kitabu hiki. Ni kitabu kirefu kidogo ila hebu fuatana na Mimi na nikuhakikishie, hautajua kimeishaje.. hisia na taarifa +...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Historia Mzee Mshume Kiyate na Mwalimu Julius Nyerere 1950s https://youtu.be/YgT0LS-qGUg
0 Reactions
7 Replies
619 Views
MWANANGU MWANASITI KIJINO KAMA CHIKICHI... Laiti kama kuta zingekuwa na masikio. Picha hiyo ya kwanza hapo ni Muthaiga Country Club, Nairobi mwaka wa 1989 niko na Ally Sykes (1926 - 2013)...
13 Reactions
7 Replies
1K Views
HAPO ZAMANI ZA KALE ''Hadithi, hadithi.'' Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu. Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.'' Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...'' Simulizi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU'' Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi. ''Leo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…