KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 8 : MFUNGO MOMBASA NA SHARIFF SALIM ABDALLAH (SAL DAVIS) NA SHARIFF MUHDHAR KHITAMI 2009
Ndugu zangu hawa masharifu wawili wote wanatoka katika koo kubwa na maarufu mjini...
KUMBUKUMBU YA MFUNGO WA RAMADHANI 3: FUTARI YA ALLY SYKES NA NA SINIA LA KUNDE ZA BIBI TITI
Binti yangu kaanda meza katuwekea futari.
Tumetoka msikitini tukakaa mezani tunafuturu.
Kipindi...
MFUNGO WA RAMADHANI NA SIKUKUU YA EID MBALI NA NYUMBANI
Hii mbali na nyumbani nimemwibia gwiji wa fasihi, Shafi Adam Shafi.
Adam Shafi ameandika kitabu, ‘’Mbali na Nyumbani.’’
Ukisoma kitabu hiki...
Leo inatimia miaka 40 toka vita vya YOM-KIPPUR kuanza vita hii ilianza tarehe 06-10-1973 nchi za kiarabu zilijipanga vilivyo ili tu kurejesha ardhi zao walizopoteza katika vita vilivyovunja record...
Strong leader.
Ujumbe wa Lissu:
Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia...
https://youtu.be/NlMzNWph_tE?si=ZEn2izCLvieZG_Th
Vijana sasa hivi hawajuia yaliyo tokea miaka 60 iliyopita.
Namshukuru Mungu, mimi nilishuhudia hata kama ni kiduchu na nilikuwa mdogo sana...
A question about possible remote folklore memories of Masudi's "Zanj empire" in present Tanzania.
Dear forum visitors and participants! First of all please excuse me for using English - I'm not...
KUMBUKUKUMBU YA RAMADHANI 6
Nimeona nieleza na mengine katika haya pamoja na kumbukumbu za Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sala ya Eid Kubwa Maputo, 1990
Kuhitimisha nakurudisheni Maputo...
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 5
MFUNGO WA RAMADHANI MUSCAT 1999, SALA YA EID NDOGO TILBURY 1992, SALA YA EID KUBWA TILBURY PORT 1992 NA SALA YA EID KUBWA REGENT PARK MOSQUE LONDON 1993
Muscat, Oman...
Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa...
BRONX FAMILY - MAMBO YOTE.
"Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga...
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 4
FUNGA YA ZIMBABWE 1993
Nimefunga Ramadhani Harare, mwaka wa 1993.
Naikumbuka safari hii vyema sana.
Nimepanda ndege ya alfajir ATC kuelekea Harare.
Uwanja wa ndege...
Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua.
Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970.
Bila ya shaka yoyote...
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 2
MFUNGO WA RAMADHANI NA SIKUKUU YA EID MBALI NA NYUMBANI NA KWINGI DUNIANI
Mombasa, Kenya 1990s
Hii mbali na nyumbani nimemwibia gwiji wa fasihi, Shafi Adam Shafi...
Kitaaluma. Ukisoma peopling of East Africa utajua kuwa sisi ni Cushite. Ukisoma Itandala (1997) katika kitabu chake East Africa and its Invaders anasema, Afrika kuna makabila 3. Negros, Hamites...
MAJINA YA ALI (ALLY) KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Katika vibao hivyo vitatu kimoja kimekosekana.
Kimesosekana kibao cha Ali Masham wa Magomeni Mapipa.
Ali Masham alifungua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jaji Mkuu,
Majaji,
Mawakili na Mahakimu wote
Ukweli kuhusu umiliki wa viwanja 32/77 Somali Street na 17/56 Mtaa Mchikichi Kariakoo Dar es Salaam.
Mimi...
Habari Ya asubuhi Leo Ya tarehe 11/03/2024 Nawaletea Ufunuo huu WanaJF twende Na Mimi ili mpate mambo mzuri
WILLIAM TYNDALE,MTU ALIYECHOMWA MOTO NA KANISA KWA KOSA LA KUTAFASIRI NA KUCHAPISHA...
Habara wana JF, naamini mmetuliza akili Kwa kusoma uzi mrefu sina muda wa kupoteza hadi sasa naomba mniazime dakika 3 za kusoma uzi huu
Kabla sijaelezea kuhusu mwanzo wa taifa la Israel pamoja na...