Lingchi (凌遲), ilikuwa mfumo wa mateso na adhabu ya kifo iliokuwa ikitekelezwa huko China kutokea miaka ya ya 900 hadi kupigwa marufuku 1905.
Katika adhabu hii kisu kilitumika kuchumoa kiungo...
KITABU KIPYA: SAL DAVIS AN AUTOBIOGRAPHY
Ndugu zangu kitabu cha maisha ya Sal Davis leo kimechapwa na Amazon kama mnavyoona hapo chini.
Kitabu kilichukua muda kwani si kazi nyepesi kumkalisha...
RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK
Allah Muweza.
Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya...
Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM.
CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa...
LEO SIKU YA MASHUJAA
Mwaka jana nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes.
Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu.
Nilipoipata picha...
Before 1961, Tanganyika was a territory that was under the control of different colonial powers, including Germany and later Britain. The education system that existed during this time was largely...
Gazeti La Dunia
Pingpong porini na Savimbi
Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akiwa kwenye handaki eneo la Jamba, Angola, ilikokuwa kambi ya kijeshi ya kundi la waasi la UNITA. Kunradhi kwa...
MTI MBICHI UKAGEUKA KUNI
Na- Aron Seni
ilikuwa asubuhi tulivu na njema ya mwaka 1977. Baba wa taifa hayati JK Nyerere alipomuita nyumbani kwake msasani-Dar es salaam aliyekuwa Mwanasheria mkuu...
Waanzilishi na waasisi wa Chama Cha Wananchi (CUF): Shabaan Khamis Mloo, Seif Sharif Hamad na James Mapalala…
Huyu Mapalala aliwekwa ndani na kuteswa sana na Dikteta Nyerere kwa zaidi ya miaka...
Na, Comred Mbwana Allyamtu.
Sunday 10/9/2017.
Misri (Kwa Kiarabu: مصر, Masr) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Mashariki ikiwa na eneo la Rasi ya Sinai kwenye bara la Asia pia. Ni nchi yenye wakazi...
SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013
Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja.
Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake
Naomba tuwe pamoja
MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. Njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO...
KUTOKA MAKTABA YA MZEE KISSINGER: PICHA YA KARNE YA 20 YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Jana tulipokwenda kumsalimia mwalimu wetu Mzee Kissinger nilimgusia kuhusu picha aliyonipa miaka mingi...
Mchoro wa karne ya 16 unaoonyesha kuchunwa ngozi akiwa hai kwa hakimu fisadi, Sisamnes, katika mwaka wa 500BC.
Sisamnes alikuwa hakimu wa kifalme fisadi wakati wa Cambyses ll katika taifa la...
Habari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha...
Anaeijua historia ya Ikulu ya Magogoni atusimulie, naambiwa ulikuwa msikiti, mzungu akapapenda akageuza makazi yake kisha kuwa Ikulu.
Hili lina ukweli wowote?
Naomba kujuzwa.
Pia soma >>...
SIGARA "CLIPPER" ALIYOKUWA AKIVUTA MWALIMU NYERERE
Picha hiyo hapo chini imepigwa mwaka wa 1955 Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu kwenye Tawi la TANU alilofungua Ali Msham nyumbani kwake.
Ali Msham...
Hector Pieterson being carried by Mbuyisa Makhubo after being shot by South African police. His sister, Antoinette Sithole runs beside them. Pieterson was rushed to a local clinic and declared...
BURIANI NDUGU YANGU SULEIMAN ‘’BAKU’’ ISMAIL
Siku ya Alkhamis, tarehe 9 tumemzika ndugu yetu Baku mtu maarufu kupita kiasi Mafia.
In Shaa Allah nitakuja kueleza umaarufu wa Baku baadae...