Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo...
CHURA WA KIHANSI
Taxonomy
👉Kingdom⟹ Animalia
👉Phylum ⟹ Chordata
👉Class ⟹ Amphibia
👉Order ⟹ Anura
👉Family ⟹ Bufonidae
Vyura wa kihansi kwa jina la kisayansi wanajulikana kama...
Familia yake ilifanya misa ya kumbukumbu jana nchini Morocco, hao wamama wawili ni wajane wa Mobutu na ni mapacha kutoka tumbo moja. Hawa wanaume ni watoto wa Mobutu.
Mobutu aliwekeza mali...
Kuna clip inazunguka mitandaoni ikieleza mengi kuhusu Tanganyika.
Kubwa linaloshtua watu wengi ni kusema imani kuu nchini ni Ukristo.
Nimeandika makala hiyo hapo chini kutanabaisha kuhusu historia...
Watoto Ni kawaida yao kumuamini mzazi wake kwa 95% kuzidi lolote/yeyote 5% kwa kuwa anafahamu mzazi Ni binadamu salama kwake kuzidi binadamu yeyote..
NI muhimu kutumia fursa hii ya kubahatika...
MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER
MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?''
Mimi huwa simjibu...
Picha inajieleza;Inasemekana hadi mama Maria alishawahi kumpiga huyu mama wa kizungu makofi maana aliona kama anataka kuleta za kuleta maelezo yapo kwa picha
JUMA "MENSAH" PONDAMALI ALIVYOIPA USHINDI TANZANIA KUFUZU KOMBE LA AFRIKA DAG HAMMARSKJOLD STADIUM NDOLA ZAMBIA 1980
Sote tulikuwa kimya tukimsikiliza Juma Pondamali akituhadithia kwanza jinsi...
Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala...
Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau.
Ninakiweka kisa hiki...
Menai ni jina la mlango bahari uliopo katika bahari ya nchi ya Wales.Eneo hilo la mlango bahari limewahi kukumbwa na ajali nyingi za meli lakini hizi ajali tatu zimeandika historia ya kipekee...
Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc...
FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970
Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi...
1962 uliibuka mgogoro ambao ulitaka kupelekea vita kati ya nchi ya Cuba na Marekani mara baada nchi ya Marekani kugundua kuwa USSR inaweka makombora ya Nuklia nchini Cuba, Nchi ya Cuba chini Fidel...
Yapo majina ya mabondia ambayo hayatajwi kabisa kwenye historia ya mabondia ambao wame acha rekodi kubwa ,lakini leo utafahamu bondia ambae ameacha rekodi kubwa lakini jina lake huwa halitamkwi...
HISTORIA YA MAGEUZI NCHINI TANZANIA KWA KIFUPI SANA
Binala. Nimerudi. Kama nilivyoahidi, nitarejea historia ya mageuzi ya kisiasa hapa nchini, japo kwa kudodosa kidogo tu. Ninayoandika hapa si...