Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Mnamo Agosti 28 mwaka 1963, karibu watu 250,000 walikusanyika kaika bustani ya kihistoria ya Lincoln Memorial mjini Washington-DC kumsikiliza mtu huyu akizungumza. Jina lake lilikuwa Dkt Martin...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽 ~ MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI) - 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu. - 3,118 KK - Mfalme Menes...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye biography yake, Malcom X anaelezea jinsi alivyonunua suti aina ya zoot alivyofika jijini Boston. Suruali ya bluu, magotini ikiwa na upana wa nchi thelathini, kisha inapungua upana kuelekea...
1 Reactions
12 Replies
921 Views
Its TBT day lets motivate... . Naam! . Alikuwa ni mtu mweusi ... alikuwa akifahamika kwa jina la . . . . Madam CJ Walker (1867-1919) alikuwa ni milionea wa kwanza wa kike kule US. She was a...
1 Reactions
10 Replies
744 Views
DUA YA MUHAMMAD ALI KINSHASA 1974 Kwenye kitabu cha maisha yake, "The Greatest My Own Story," Ali anaeleza vipi mzee mmoja kutoka Cuba mchuaji wake misuli alivyokuwa anamnanga kuhusu yeye kujiita...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
SEHEMU YA PILI Khamis Abdulla Ameir kulia na Ahmed Rajab wakiwa mkutanoni African Union mwaka wa 2013 Huko nyuma nimeeleza kuwa nitaeleza ni waandishi gani walioandika vitabu vya kutisha...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibu tena na uzi mwengine! Siku kama ya leo katika mwaka 1958, kulitokea mauaji, sijui nisemeje lakini iko hivi...[emoji116] Mwaka 1958 kuna dogo wa miaka 16 aliyekuwa akifahamika kwa jina la...
1 Reactions
1 Replies
825 Views
Kupitia thread hii ,wana JF naombeni tujuzane historia na mambo tofauti tofauti yaliyo weza kutokea katika siku husika ambayo utakuwa na kumbukumbu nayo. Mchangiaji unaweza ukaelezea kisa...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
RAJAB DIWANI KAMANDA WA VIJANA Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa kila ninapoona picha ya mtu maarufu katika wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika nitafungua kitabu cha Abdul Sykes kutazama...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022 Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe. Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa. Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima...
49 Reactions
101 Replies
4K Views
Mwanariadha mlemavu Alex Roca Campillo, ambaye ana ulemavu kutokana na kupooza kwa ubongo, aliweka historia kwa kukamilisha mbio za marathon za Barcelona katika muda wa chini ya saa sita...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Alexander The Great harakati za kutawala Ulimwengu. Ili uweze kufahamu zaidi ni jinsi gani Alkebulan (Bara la Afrika ya sasa) ilivamiwa na Wakoloni inakupasa kujua historia ya Mfalme Alexander...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Swali fikirishi. Kabla ya ukoloni wa Berlin Tanzania ama specifically Tanganyika haikuwepo, katika confinement ya mipaka ya sasa. Ni phenomena waliyoitengeneza wao. Katika kudai Uhuru kulikuwa...
1 Reactions
15 Replies
739 Views
Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu...
17 Reactions
411 Replies
18K Views
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
HAKUNA TAIFA LA KUINGUSHA MAREKANI KATIKA DUNIA HII, MAREKANI ITAJIANGUSHA YENYEWE. Na Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Monday-5/12/2022 Marangu, Kilimanjaro, Tanzania Hadithi yetu inaanzia hapa...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
BABA WA TAIFA AKIKEMEA UDINI Mjamaa wa kisasa anamnukuu Baba wa Taifa katika suala la udini msome hapo chini: - Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Ni kiongozi aliyepiga...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa taifa huru la Afrika ya kusini alifahamika zaidi kwa majina mawili ya Nelson Mandela. Hayati Mandela aliyezaliwa 1918 na kufariki 2013 alikuwa na majina mengine...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…