Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana? Kwaresma njema!
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho. Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
HISTORIA YA KADI YA TANU 1954 Ndugu yangu mmoja kanirushia kadi ya TANU nami kwa kuonyesha shukurani yangu kwake namuwekea hapo chini historia ya kadi ya TANU kama nilivyoeleza katika kitabu cha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanazuoni. Naomba anayefahamu asili ya Neno Tanganyika ni ipi? Ingawa nasikia hata DRC Kuna sehemu inaitwa Tanganyika. Wazee wa zaman au wasomi wa historia msaada tafadhari
1 Reactions
4 Replies
971 Views
RASHID RAMADHANI NYEMBO NA ABDALLAH SAID KASONGO: HISTORIA YA VIJANA WA TANU NA PAFMECA 1958 Watu wengi wamekuwa wakinirushia barua ya mkutano wa PAFMECA Moshi mwaka wa 1959. Imekuwa jambo la...
1 Reactions
1 Replies
658 Views
"CHICKEN ON THE BONNET" (KUKU JUU YA BONETI YA GARI) Hawa kuku wawili nimewaona wamepanda juu ya boneti ya gari nje ya nyumba yangu. Nikawa naomba dua wasiruke hapo kabla sijawapiga picha. Picha...
6 Reactions
6 Replies
806 Views
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid0374sGVDNkm2a8JNs1ZNuExwvWLQiGzxSsfDis37Nar6iJDdSJbywdBTLFKPBFUyx9l&id=100022121633704&mibextid=Nif5oz
1 Reactions
0 Replies
281 Views
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Langi ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
KITABU ADIMU KUTOKA MAKTABA YA HAMISI HABABI Hazina hii inatoka katika Maktaba ya Hamisi Hababi. Hiki ni kitabu cha maisha ya Sheikh Kaluta Amri Abedi mmoja kati ya wazalendo walipigania uhuru...
1 Reactions
3 Replies
884 Views
Wakuu Habari zenu? Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese. Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea...
3 Reactions
5 Replies
990 Views
SIKU MOJA ASUBUHI MOJA HAMISI HABABI NA MIMI NYUMBANI KWA NA KANALI AYUBU SIMBA Hamisi Hababi kama walivyo Wamanyema ni watu wa ari sana. Hamisi anakwepa sana kuitwa msomi au kumwita...
4 Reactions
0 Replies
707 Views
Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
The world's largest mounted skeleton of dinosaur discovered in Tendaguru Tanzania (1907-1913) displayed in National History Museum in Berlin, Germany. Its 13.27m tall and about 250 tonnes weight...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
KITABU CHA MAISHA YA KANALI AYUBU SIMBA Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka wa 1988 katika kuadhimisha Miaka 30 ya Azimio la Busara Tabora alisema CCM iwatafute wale wote...
1 Reactions
1 Replies
866 Views
Kaka Mohammed Said, Kwanza nakuamkia. Pili, khutba zako kwenye social media zinaendelea kuwapotosha watu kuhusu mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Bila ya mapinduzi haya wengi wetu...
10 Reactions
336 Replies
13K Views
SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa...
43 Reactions
117 Replies
6K Views
‘’TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI’’: KUMBUKUMBU ZA KANALI AYUBU SIMBA Rafiki na ndugu yangu Hamisi Hababi leo asubuhi kaniletea kitabu cha maisha ya Kanali Ayubu Simba. Hababi alipata...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950. Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…