Vijana na watu wazima walishirikiana katika mchezo wa kamari (kwesa nsimbi). Mchezo huu pia ulitegemea ruhusa ya mtemi, maana mara kwa mara yaliweza kutokea matata ya kuuana wao kwa wao.
Kwa...
"Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata...
Salam wanahistoria.
Ninasoma Tasnifu ya Wangari Mathai iitwayo Unbowed, Kwenye sura ya Kwanza, nimekuta maelezo kuwa kuna wakenya waliletwa Tanganyika kupigana Vita ya Dunia, kati ya Muingereza...
Safari Yangu Nchini Sudani Kusini
------------------------
Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu.
------------------------
Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana...
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na...
Habari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo...
Na Masudi Rugombana
Huyu ndiye Baba wa uchumi wa China, ndiye aliyeasisi, aliyejenga na kusimamia ipasavyo misingi ya mfumo wa uchumi wa soko huria, na kufanya mageuzi mengi yanayoifanya leo hii...
Watafiti wengi walianza kupata mwangaza baada ya kujiuliza ujenzi wa mapiramidi ya misri matatu kuendana na mtililiko wa nyota.
Tafiti nyingine zikaja kuibua mapiramidi mengi kwa mtindo wa...
Sijui kama hii stori iliwahi kuletwa humu jf mbaba anaitwa Walter Summerford ndio Mwanaume anaeshikilia rekodi ya kupigwa radi tatu akiwa hai na moja kaburini kwake.
Walter ambae alikua Afisa wa...
AHMED MOHAMED JOHARI (MNUBI) YANGA WALIMKATISHA MASOMO SEKONDARI ACHEZE MPIRA
Picha hiyo hapo chini inatoka kwa Sunday "Computer'' Manara na yeye kaipata kwa kaka yake Kitwana ''Popat'' Manara...
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE
UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO
KATI YA CHAMA...
ABDALLAH SAID KASSONGO NA PAFMECA 1958 SIKU KWA MARA YA KWANZA ''TANU YAJENGA NCHI ULIPOIMBWA''
Watu wengi wamekuwa wakinirushia barua ya mkutano wa PAFMECA Moshi mwaka wa 1959.
Imekuwa jambo la...
MKUTANO WA PAFMECA MOSHI 1959
Kanirushia ndugu yangu barua hii ya PAFMECA nami nimeiweka hapa sote tufaidi.
Naweka hapo chini kipande kidogo kuhusu PAFMECA kutoka kitabu cha Abdul Sykes:
Pan...
Cleopatra alikwea umalkia au kiti cha enzi akiwa na umri wa miaka 17 na alikufa akiwa na umri wa miaka 39. Alizungumza lugha 9. Alijua lugha ya Misri ya Kale na alijifunza kusoma maandishi ya kale...
TAAZIA: OMARI MWARIKO AMEFARIKI
Nimepokea taarifa ya Omari Mwariko.
Si wengi watakuwa wanamfahamu katika miaka hii lakini Mwariko alikuwa bingwa wa kuchonga vinyago na katika uhai wake katika...
OMARI MWARIKO NANI ANAMFAHAMU?
Huyo hapo chini aliyevaa kofia ni Omari Mwariko.
Nimemfahamu Omari Mwariko nakua na nasoma shule ya msingi Moshi katika miaka ya 1960.
Miaka hiyo Omari Mwariko...
UGIRIKI, FALME YA MACEDONIA, UYUNANI; MAMA NA KITOVU WA NCHI ZA ULAYA, ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA YA NNE YA DUNIA (4th WORLD HEGEMONY)
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Wednesday-14/12/2022
Olasiti...
BOCCA DELLA VERITA:
Inaitwa MOUTH OF TRUTH
Ipo na inakaa nje ya mlango wa Santa Maria katika Kanisa la Cosmedin Rome Italia
Ni sanamu kubwa iliyo katika hadithi nyingi, inafanana na uso...
Thomas Sankara na Blaise Compaoré, wote walikua pamoja nyumbani kwetu. Baba yangu aliwatunza wote wawili na walikuwa zaidi ya ndugu. Baba yangu aliwapeleka wote wawili kwa jeshi la taifa na...