Je wajua ni kata ambapo ziko mbili yani Marangu Mashariki na Marangu Magharibi kila moja yenye vijiji na vitongoji vyake ambapo imezungukwa na Kata za Mamba kwa upande wa Magharibi na Kusini na...
Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his...
KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE
''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha...
Kuna kisa kimoja cha Ahmed Chalabi, nadhani mnamkumbuka sana huyu bwana, alikuwa mpinzani mkubwa sana wa Saddam Hussein
Kwanza tumfahamu huyu mtu hatari kuwahi kutokea kwenye siasa na ujasusi...
Kuna huyu Mngazija mmoja mwenye akili sana aliyeitwa Selim bin Abakari. Wakati Wajerumani ndiyo wanaanza kutawala Tanganyika huyu Selim Alikuwa akifahamu kijerumani, hivyo akaajiriwa na afisa...
Katika jiji la Agra nchini India,kwenye kingo za mashariki za mto Yamuna limesimama jengo mashuhuri kuliko yote nchini India,TAJ MAHAL. TAJ MAHAL iliamriwa kujengwa mwaka 1632 na mtawala wa tano...
UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA?
Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya...
MBARAKA MWINSHEHE MWARUKA: SOLOIST INTERNATIONAL
Katika miaka ya 1980 nilitaka kuandika maisha ya Mbaraka Mwinshehe.
Nilianza utafiti kwa kufanya mazungumzo na jamaa wa Morogoro ambao waliishi...
UHURU WA ZANZIBAR TAREHE 10 DECEMBER 1963
Naikumbuka siku hii kama jana vile.
Nilikuwa na umri wa miaka 11 na vitu viwili vitatu ndivyo vilivyonasa kwenye kichwa changu.
Kwanza ni kumuona Mzee...
"Nimevutiwa na hiki kipengele nimejikuta napata swali pia.
Lakini pia katika hutuba yake ya kuagana na wazee wa Dar 1985, alieleza kwa ufasaha jinsi wenyeji wa Dar (moslems in particular)...
Wadau Nawasalimu ktk kusikiliza TBC Leo nimemkumbuka Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Michezo kilichokuwa kinarushwa na RTD siku hizi TBC kila siku saa 1.45 jioni.
Mtangazaji Wa Kipindi hiki...
MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana...
23 December 2022
Same, Kilimanjaro
Tanzania
CHIFU JOSEPH MBAZI II ATAWAZWA LEO, KUENDELEZA HISTORIA YA JAMII
Tukio hilo adhimu la kuendeleza historia ya sehemu hiyo leo katika tarafa ya Mbaga...
SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA...
C&P
WACHAGGA
Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi?
Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye...
HISTORIA YA WILAYA YA NGARA, ASILI YA MAJINA MBALIMBALI, UTAMADUNI WA WAKAZI WA NGARA NA CHANZO CHA JINA LA KABILA LA WAHANGAZA WANAOKAA WILAYANI NGARA.
ASILI YA NGARA
Wilaya ya Ngara ni wilaya...
Kuna wanawake wengi waliokuwa majimboni waliopigania uhuru wa Tanganyika.
Bahati mbaya wengi wao hawafahamiki kabisa.
Baadhi yao nimeweka picha zao hapo chini.
1. Bi. Halima Khamis na Julius...
Idi Amin Dada Oumee alikuwa afisa wa kijeshi wa Uganda, bondia, na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa rais wa tatu wa Uganda kuanzia 1971 hadi 1979. Amin alizaliwa Koboko kwa baba Kakwa na mama...