Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
kukosea kutaipu hasa kwenye kichwa cha habari tatizo ni nini wadau? ni KIKOJA au ni KIMOJA?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipi tamu zaidi kuitamka mdomoni na kuisikia masikioni kati ya vifupisho hivyo hapo chini vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam? UD - Yu Dii UDZM - Yu Di Zim UDSM - Yu Di Es Em
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuchuchumaa
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Gaspa ni mwizi ameniibia fedha zangu.
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Sentensi sahihi ni ipi? "Hawa ni wadogo wangu" au "Hawa ni ndugu zangu"?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna kitu ninachokichukia kama ukasuku. Tokea RTD kuanza kutangaza mechi za soka, nadhani mtangazaji hakuwa na maneno sahihi ya kuishia kutangaza hivo akatumia maneno haya ya "mpira umeisha"...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naombeni jinsi ya kutumia neno "nimeibiwa" katika sentensi mbili tofauti nikimtuma mtu anibebee mzigo nitasema "nimebebewa...." je? nikimtuma mtu aibe kwa ajili yangu? itatofautianaje na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
trust na belive kwa kiswahili
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba msaada wa maana ya Phrases na Synonyms na mifano yake.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Amami Kwenu Naombeni mnisaidie kujua maana,tofauti na tafsiri ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiwsahili.Kusema kweli ni maneno ambayo mimi binafsi uwa yananichanganya sana na mpaka leo bado...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
TWABORONGA KISWAHILI. Twajua neno ONESHA, kwa chenye kuonekana. ONESHA kuwa ONYESHA, hapa ni lugha gongana. ONYESHA kunyumbulisha, ONYA, ONYO, ONYEANA. Twajiita waswahili, kiswahili twaboronga...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Tafsiri baadae Enshonga tiyashweilwe mwa tata Aina nsinjo anga oruhoile Mawe ni Ma Theopista. Mawe nto ni Kokushubila. Mawe ntokazi ni Kaijuko Aba nibo banyonkize, Ekyo mbendela Orwongoba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania..the land we rose.. Taught social ways of life.. Shield to protect our people.. Courageous to battle thousand lions Spear to penetrate thousand miles Reinforced to battle in war...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba mwenye misamiati ya kiswahili sanifu katika taaluma ya uhasibu anisaidie ikiwemo maneno kama accrual, IPSAS, Balance sheet, Statement of financial perfomance, audit opinion nk
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Usilaumu wenzako, upime vitendo vyako, Sijitie sononeko, ikumbuke jana yako, Ukipanda chokochoko, waja vuna machafuko, Kila mchana mbeleko, malipo yake anguko, Kila mpanda upepo, ndiye huvuna...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Nimesoma leo kwenye TV Channel E wanasema Lugha ya kiswahili ni ya pili Africa baada yaLugha ya Kiarabu. Kiarabu ndiye lugha inayoongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi Africa. Hii inamaanisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE Kiswahili: Juma amekuwa akicheza mpira wa mguu English: Juma has been playing football SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya HAS BEEN kwa Pronoun au...
3 Reactions
15 Replies
7K Views
Nataka kujua tofauti baina ya neno "hamna" na "hakuna"...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Napenda kujua maana ya kutamalaki! kwa kingereza nini!
0 Reactions
4 Replies
24K Views
Habari wana jamvi.. katika pitapita zangu nimekutana na neno RAGHBA, ni neno la kiswahili lakini nimeshindwa kulielewa vizuri zaidi hasa mahala pa kulitumia. Tafadhali wataalamu wa lugha naomba...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…