Neno limekuwa neno, kiziwi kalisikia,
Neno liwe la mfano, tupate kujifunzia,
Neno lisiwe ndoano, kooni likanasia,
Kuna neno na maneno, kuna neno lenye meno,
Lipo neno la uchungu, kiasi bubu...
Neno graduate linatumikaje ? Aliyemaliza la saba, form four,form six, certificates courses, diplomas, degrees, masters, phd. Wote wanaweza tumia neno graduate ??
Naombeni ufafanuzi wenu ma Great...
Imezoeleka na kukomaa kwa kila kitu au malalamiko ya wananchi wanapo lalamika kuhusu utendaji wa viongozi au ukosefu wa kitu fulani muhimu kwa jamii, basi kauli rahisi kutoka Serikalini huwa...
Sasa nimeamini ni kweli mtoto halali na fedha. Hulala na Nepi ya Mikojo.
Kumbe maana ya Methali hii, unaporudi nyumbani kabla ya kulala jiulize umetengeneza fedha kiasi gani, na cashi kiasi...
Kama ukipenda....
Nilitengeneza a table of all Present and Past Tenses, positive, negative and question forms, together with a short explanation as to how to use each tense (yaani, in what...
Hivi wapendwa hili neno lina maana gani?. naona baadhi ya member wa humu jf hupenda kulitumia mara kadhaa.(adiosamigo) napenda mwenyekujua maana yake atafsiri kwa lugha ya kiswahili ili niweze...