Kuna SMS mbali mbali za busara ambazo watu hutumiana kwenye simu za mikononi zikiwa na jumbe mbali mbali za kuelemisha, kufariji, kutia moyo, kukosoa, kukejeli, kuasa, utani na vichekesho ambapo...
Ni uvivu wa mawazo au ni kitu gani? Ukimsikia mbunge akichangia bungeni, ukimsikiliza mtangazaji redioni au kwenye
tv, lazima utamsikia akisema, kimsingi........ Yaani kila mazungumzo sasa hivi ni...
>Nini chanzo cha lafudhi?
>Kwanini lafudhi ya watu wa mkoa fulani hutofautiana na mkoa mwingine?ilhali tu nchi moja
Mfano,wamakonde,wachaga,wapemba,wazaramo,wangon, wanalafudhi tofaut...
naomba uwe wa kwanza kujua makosa tunayoyatenda kila siku
asubuhi njema
mchana mwema
usiku mwema
kwa nini neno asubuh tutumie njema mchana na usiku tuseme mwema je ni neno gani sahih kati ya...
Nilikua nasikiliza redio moja hivi ya FM nikasikia maneno yafuatayo
"full mzuka"
"Akampa vitasa"
"Kiroho safi"
"Arachuga"
"Mzeya"
"Amesepa"
hii lugha itakuwa inafananaje baada ya miaka kumi?
Bado napata mkanganyiko kati ya maneno mawili haya. 'Kupanga' na kupangisha' mimi naona kama kinyume kusema mmiliki wa nyumba anapanga na mhitaji anapangisha. Wana jamvi naomba msaada..
JIPATIE DVD ZA KUJIFUNZIA KIINGEREZA
ENGLISH DVD part 1 of 5
CONTENTS:
1.Greetings
2.More Greetings
3.Greetings Throughout the Day
4.Useful Expressions
6.Introducing Yourself
7.The...
Nawasalimu wote.
Nimekuwa mpenzi mno wa nyimbo za kilingala za wenzetu wa Congo. Imefika mahali sasa nataka kuyaelewa mashairi yao. Naomba kuna mtu mwelewa wa lugha hii au anaweza kunoelekeza...
Wengine watafikiri labda nimepotea njia, hapana, ila napenda kutoa angalizo kwa wanao/watakaokwenda kuhubiri injili pande za uhayani wasije wakashutuka mara baada ya kulitaja neno lenye herufi 4...
Ninaposikiliza majadiliano bungeni baadhi ya wabunge husema: "Mh Naibu wa spika........"
na wengine "Mh Naibu spika......."
Ni addressing ipi kati ya hizo ni sahihi? Mimi nilifikiri Naibu spika...
Wazungu walivyo koswa neno "any one" wakaiba neno la kijita "ANYONE" likiwa na maana ya "namimi" huku wao wakimaanisha "yeyote" hebu twmbie kikwenukwenu wameiba neno gani?
Habari wana jf. ktk pitapita zangu nimekutana na karatasi yenye maandishi yafutayo: "mpingo ndi anthua Mulungu-gulu la anthu owomboledwa; iwo amene amadziwa ndi kumkonda mulungu. Kuyambila kale...
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda...
Wadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui...
Mtaalamu wa masuala ya lugha, Bwana G.W. Broomfield aliandika haya mwaka 1930. Makala yake ilikuwa na kichwa: The Development of the Swahili Language.
Hebu tusome na tutafakari kama sisi Waafrika...