Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie...
0 Reactions
96 Replies
11K Views
vigits=mambo vipi? guten morgan= za asubuhi danke= asante bitte=tafadhali ........ ongezea mengine
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Hili lina maana gani as far as wanandoa au wapenzi wapo concerned?ni kawaida kusikia yule jamaa ana gubu..linasababishwa na nini na inawezekana kujifahamu gubu lako mapema ukalishugulikia...
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Nini maana ya commitment kwa kiswahili?
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Wadau wa lugha habari zenu? Lipo hili neno wadau.Silipendi na napinga sana matumizi yake hapa JF. Nimeona WanaJF wengi pale anaposifia kitu anasema: hatareeeee! Je, huyu anataka kusema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi) 2. 'Kuuza chai'(Kupiga stori hasa za kuchekesha/au sizizo za kweli) 3.'Nyanga'(Supplementary exams)...
7 Reactions
139 Replies
16K Views
Hivi ni kweli wasomi wa tanzaia hawajui matumizi ya 'S' na 'X' ????sababu imekuwa desturi sasa mtu tena msomi unakuta anaandisa xaxa badala ya sasa au axante badala ya asante ,,sasa hii huwa ni...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
ni nyama apewayo mchinjaji kama asante,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, Mimi Nina asili ya Bara, na maneno yanayotamkwa Kwa mkazo na hasa yenye kuanzia herufi 'ku' zinanipa hisia kuwa ni aina Fulani ya kutukana. kwenye matangazo ya biashara ya Tigo Facebook...
0 Reactions
17 Replies
25K Views
Heshima mbele wakuu. Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu. ASANTENI SANA.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Kipindi cha miaka ya 2010-2014 kuna maneno mengi yameibuka je ni neno gani lililo kero kwako kulisikia?.Kwa upande wangu ni hili neno michepuko.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Malenga Mwanakijiji na Waghani wengine Mnaoliamini Azimio Arusha, Kwanza nawasabahi kwa Salamu ya Ujamaa na Kujitegemea. Ombi langu kwenu ni kuhusu tenzi na mashairi ya Azimio la Arusha. Tuko...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Nisaidieni kumjua mtangazaji wa kiume anaeharibu kiswahili au ni wa nchi jirani anavosema sasa nachukua gazeti ya nipashe mara gazeti mtanzania.ni nani huyuuu ajirekebishe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tumeshindwa pahali. Thanks in advance comrades.
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Anaejua jamani mana huwa nachanganya tu matumiz yake.
0 Reactions
10 Replies
11K Views
1. Mtu Nguwa, hii njewere nimependa sana... 2. Nyuruchi iko huku 3. Msupuu wa Kamau anajua kukata cat walk 4. Endeleeni
1 Reactions
103 Replies
22K Views
Ninatafuta vitabu vya Kiswahili kwa ajili ya wageni.Hasa level ya intermediate na advance.Yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza vitabu hivi anijulishe.Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba mnisaidie juu ya sababu zinazopelekea ULUMBI kutokea. msaada sana jamani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
In Tanzania, there is this whole conception of Kenyans being impolite, arrogant, and generally uncivilized, while Kenyans usually perceive their southern neighbors as pleasantly warm but way too...
0 Reactions
37 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…