Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nesinso nde na mambee? Muwasima wosee ngewesia koko kuifo wachaka wa kiwoso kunumba lumanyane nyi ngifumie Dakau ludede wana wa wabo!
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Za jioni wakuu. Tumetoka kuangalia video ya Bahati Bukuku na tumeangalia pia ya Bon Mwaitege. Nilichojifunza kwao na kwa wanyakyusa wote hawawezi kutamka vema heru L ambapo kila wakitaka kutamka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Neno pandora linamaanisha nini? kule bungeni dodoma.Naomba mnijuze wakuu.
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Ilikuwa ni mchana wa jua kali, miti yote ikiwa imepukutisha majani yao na kuifanya ionekane kama mtu aliyesimama uchi. Sauti za ndege wa aina mbalimbali zilisikika zikilalama huku na kule, kama...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Nyenzo muhimu ya kujiendeleza kuifahamu lugha ni kwa kujisomea machapisho ya lugha husika. Ugonjwa unaofahamika kwa jina la "dengue" kwa Kiingereza, waandishi wa magazeti yetu wameuitaje...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unapoisikiliza BBC au Redio ya Ujerumani, unapata maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili bila ya kuwepo mchanganyiko wa lugha. Watangazaji wetu wa Redio hapa Tanzania ni...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Hodi hodi wataalamu wa Lugha. Kuna maneno kama nzi[linasomeka nnzi] mbwa[mmbwa] na mbu[mmbu]. Ilikuwaje maneno hayo yakaandikwa tofauti ya matamshi yake? Wadau naombeni msaada huyu mdudu anaitwa...
0 Reactions
13 Replies
34K Views
Habari zenu wanajf leo ninataka kueleshwa vizuri,unajua ndani ya jamii inapotokea harufu mbaya utashuhudia watu wakisema "aah! nimesikia harufu mbaya" lakini kiuhalisia kabisa mtu hawezi kutumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba maana ya hili neno KUSINYIKA?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wataalamu wa lugha ya kiswahili leo nimeamka na utata kuhusu hili neno barabara, hivi tulikuwa na neno hili kabla ya kuja magari? Na kabla ya magari hizo barabara zilikuwa na kazi gani? Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
This is arguably the most productive thread on this forum. Do you have questions about grammar and sarufi? This is a crowdsourcing platform that will help you find the answers.
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Natatizwa na unadishi na matamshi ya hili neno, tujuzane hapa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni tafsiri ya sentensi hii 'Vukami aha! Nzo ule washe wandungu'. Kuna mtu kanitumia ni demu wangu sasa sijaelewa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wenu kwani nimekua katika hali ya kujiuliza swali hili kwa kipindi kirefu bila jibu. nimekua nikisikia kua kuna watu ni wasufi, mara dini flani ina usufi ndani yake n.k...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
COMPROMISE. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
17K Views
habari za asubuhi wana jamvi nimatumaini yangu kwamba hapa ndo mwisho wa suluhisho la tatizo langu kuna maneno mpaka sasa hivi sijapata maana yake naomba kusaidiwa. Kwa moyo mmoja nayawasilisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
...Haya wana Jamvi,Tiririikaa... Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Tumeshindwa pahali. Thanks in advance comrades.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
"Upo mwenyewe nyumbani usiku unaingia, unaogopa kulala ndani mwenyewe, unaenda kwa jiran kumtafuta mtu wa kuwa nae ndani ili usiogope " maelezo hayo kwa msamiati mmoja tunasemaje. Saidia jamani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Soma hii kwa swahili, 12000 na 10002. Thanks in advance.
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…