Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ndugu, Leo nataka ninyooshe lugha yetu tukufu ya Kiswanglish. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba, makosa yaliyo katika Kiswanglish ndiyo hayo yanahamishiwa kwenye Kiingereza, tunapojaribu kusema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina uzoefu wa kutosha katika kazi hizi mara nyingi nimehusika katika kufasiri maandiko ya kitaaluma, Kwa Kampuni, taasisi au mtu binafsi aliye mahitaji ya mfasiri Kama vile 1. Vitabu 2.Vijarida...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
mda mrefu umepita toka nikusudie ku post hili. aliyeandika hili bango pale sabasaba ni nani. badala ya maonesho kaweka maonyesho. pamoja na kutanpaza biashara pia tumetangazia dunia hatupo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani wataalam naomba nisaidieni haya maneno maana ninaamini nilichofundishwa darasani kuwa dunia ni duara. lakini sasa kuna hili neno utasikia kwa mfano "kila kona ya dunia" sasa nimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Labda ilishatolewa, ila naomba kuwakilisha: Baada ya kupita hoja ya kutoka analojia kwenda digitali..imekuwa ikisemwa vinunuliwe 'ving'amuzi'. Sasa kwa maana halisi 'ving'amuzi' ni 'detector'...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Kila nitazamapo Tv au kusikiliza redio, nakumbana na matumizi ya maneno mawili ya kiswahili yanayoniacha hoi.Nawasikia wakitangaza: BoA ni benki itakayokuwezesha kuweza kupata mafanikio kwenye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wana JF. Leo nilikuwa na jamaa yangu mahali tunapiga story za hapa na pale (ni mtu ambaye ni msomi mzuri tu) ghafla dushelele langu likaanza kuwasha, nikajikuta nikimwambia huyo...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Habari mwana jf? Ninaomba msaada wa kupata ile kamusi ya TUKI yenye English-Swahili,Swahili-English, nasikitika ya kwangu imepotea baada ya window kublock na ndio ilikuwa msaada mkubwa kwangu wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Thread deleted....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikiliza kipindi cha RFA kinachozungumzia magazeti kila siku saa 12.30 asubuhi. Nimegundua watangazaji wanatumia neno lakini visivyo hasa kwa kuunganisha taarifa zisizofanana au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maana ya neno "mundu" ni nini..!!?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa taaluma ni mfasiri, lugha ninazofanyia kazi ni, Kiswahili na Kiingereza: Natafsiri Vitabu, Majarida, Makala, kazi za kifasihi, vyeti na nyaraka mbalimbali. Kama unataka huduma hii wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maneno haya yanatofautianaje? Nayo ni haya mwehu, chizi, ayawani, punguani, mwendawazimu, zezeta, taahira na kichaa!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natamani na sisi tungekuwa na taasisi iliyo makini katika ukuzaji wa Kiswahili. Yaani baada ya Miley Cyrus kukata viuno kwenye VMAs na neno 'twerk' kuwa katika midomo ya karibu media zote jamaa...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
naombeni mnisaidie kati ya nifanyaje na nifanyeje ipi sahihi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie maana ya neno Sundyane kwa kiswhili..!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa kufahamishwa historia ya Kiswahili kilianzia vipi kuandikwa, ilikuaje, nani aliyeamua herufi hizi tulizo nazo ziandikwe n.k. PS Huu ni "uchokozi" wa kimjadala, kabla ya kujibu...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kuna jamaa anajidai ni mtaalam wa lugha Cloudsfm, anasema huwezi kutibu maji kwasababu hatutumii dawa na ni tafsiri sisisi. 1.Je chemical sio dawa au dawa sio chemical? 2. Anadai pia kwa maoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namaanisha juice za matunda yote kwa ujumla yanayokamuliwa.
0 Reactions
20 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…